Nampenda sana miss judith sijui nimwambieje!

Yani niki imagine naona vile itakavyokuwa boredom site! kumi umefanya wachache let say kila mwenye kumfeel mtu of which are many,,,,huh! c tutakimbia!! aki tena inapendeza hii kitu ipungue ama kwisha kabisa.
nilitaka kukuanzishia sredi lakini kwa komenti yako hii inabidi nihairishe, usije ukanipiga za uso.
 
Yani niki imagine naona vile itakavyokuwa boredom site! kumi umefanya wachache let say kila mwenye kumfeel mtu of which are many,,,,huh! c tutakimbia!! aki tena inapendeza hii kitu ipungue ama kwisha kabisa.
Umeona ehee maana kuna mtu mwingine kaanzisha thread anadai eti katongozwa na waziri sasa sijui sisi inatuhusu nini vitu vingine crap kweli.
 
Umeona ehee maana kuna mtu mwingine kaanzisha thread anadai eti katongozwa na waziri sasa sijui sisi inatuhusu nini vitu vingine crap kweli.

Nimeona yani cjui niseme too low au too high!!!wacha tuvumilie tutaona mengi aisee
 
si wameskia nimeshinda lotto ndio wanajigonga! uskonde lakini nishapiga kibuti wote. wee jimwage tu

Nawajua walivyo na tamaa.Lizzy alilia lia nikamwachia brokenhati na pembeni figga afanye featuring na Hus,,kumbe hajaridhika! wivu umeanza msome hapa chini

Halo haloooo!Wivu wapi...namuonea huruma WL kuanguka kwenye mto wenye mamba!

Lizzy ikiwa hukuridhia yale makabidhiano tunaweza kukutafutia waziri hata kivuli.
 
Nawajua walivyo na tamaa.Lizzy alialia nikamwachia brokenhati na pembeni figga afanye featuring na Hus,,kumbe hajaridhika!wivu umeanza msome hapa chini
Lizzy ikiwa hukuridhia yale makabidhiano tunaweza kukutafutia waziri hata kivuli.

Haki ya nani Kloro akikumwaga usije ukanililia maana naprint haya mavitu ili nikupe wakati huo!Yule nimeshindwana nae kweli ila mi Kloro simtaki hua kwa dawa
 
Haki ya nani Kloro akikumwaga usije ukanililia maana naprint haya mavitu ili nikupe wakati huo!Yule nimeshindwana nae kweli ila mi Kloro simtaki hua kwa dawa
khaaaa! unachafua CV ya waziri laivu! nitahairisha lile shopping la viatu ujue.
 
Haki ya nani Kloro akikumwaga usije ukanililia maana naprint haya mavitu ili nikupe wakati huo!Yule nimeshindwana nae kweli ila mi Kloro simtaki hua kwa dawa

kama ni hivyo hapo kny red hata mm nimeskia warning yako tushuke kule kwa katavi tukadake huko kabla hawajachakachuliwa.
 
sasa wakuu lizzy, wiselady, kloroquine, the finest &co. mnamkandia muanzisha thread kuwa kaleta uzi mbovu halafu na nyie mnaanza kushindana kupost thread za upupu kwenye thread hiyo hiyo?.................. ama kweli huyu binti MJ mumemchukia sana.............. lakii sio vizuri, hata kama mwamuonea wivu, taratibu jamani..................... kha, yaani hadi mnaboa!!................, by the way, nani kawaambia mkiongeza posts mtapewa zawadi?..........................
 
Back
Top Bottom