Nampenda sana lakini nahc ananipotezea muda

dah kuna watu wanamuda aisee! shilling yako nimpe mtu hivi hivi uwii kuna watu wanabahati
 
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo

naa bado, utatapeliwa hadi ukome!
 
Kwani wanaume wamekwisha au unatatizo la usichana wako. Unajuwaje alivyo kitabia hafai ameshajionyesha na kiumbo unawezekana kaput. Hebu tafuta kinachoonekana na kukigusa.
 
hivi mtu humjui....
Mnapendana thr mtandao....
Then unamtumia pesa??????
Jamani hizo pesa si bora mkalipie ada watoto yatima?????
 
Ukute na Eiyer kasajili la kike na yeye ndo anatoa mkwanja
Itakuwa burudani.

Hiyo ni saizi yake maana hata nikimchuna mwisho wa siku ni zetu wote as we r meant to be together! LOL
 
Last edited by a moderator:
BAK
Thanks kwa tip, ila kwa promo itabidi Kaunga anifagilia kwanza 'Nyuguy' with help ya kina Kongosho, Erotica, Cacico n all 'gals' lazima nitoke! LOL
 
Last edited by a moderator:
Yesu na Maria! Unamtumia pesa mtu ambaye hujawahi kumuona??kwa kweli siku zote wajinga ndio waliwao, pole!
 
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo

kwanini umtumie pesa mtu ambaye humjui yaan umekutana nae tu kwenye mtandao, umefanya makosa kwa kweli
 
Mpaka hapo bado unamtafuta kwa number nyengine tuu baada ya vituko vyote hivyo? hujawahi penda au hujui kupendwa?
 
Humjui mtu keshakufanya ATM
Unamsaidia halafu anapotea

Huyo tapeli wala hutamwona mweeeh......hebu kuweni na akili kidogo.
 
ajabu na kweli unampendaje mtu ambaye hujawahi kumuona?acheni ulimbukeni kwenye mitandao,hivi inatosha kumwamini mtu anayekuambia anakupenda kupitia mitandao?ulichopanda utavuna hicho hicho..kalaghabao...............
 
Mapenzi ya mitandao ni kama kujitesa kwa sababu unampenda vp mtu ambaye hujawahi kumwona je kama anatumia photo ya mtu mwingine siku ya kukutana ndo unashangaa duh wakati umeshapoteza muda wako...wanaume na wanawake wanatong'oza kwenye mitandao wengi ni wahuni.
 
Pole sana dada yangu.
Naomba nikushauri kama ifuatavyo: kwa kawaida wanawake huwa wana mapenzi ya kweli lakini si wanaume. Hivyo nakusihi uwe mwangalifu sana, wengi humu kwenye mitandao ya kijamii ni matapeli, huwa wanafikiri mwanamke kupata rafiki kwa njia hii basi umekata tamaa ya maisha hivyo atataka akupelekeshe. Ukipata rafiki humu kwanza akikisha mnaonana face by face na muulizane kama kila mmoja ameridhika kuendelea na urafiki. Jipe muda wa kutosha kuwa nae kabla haujajiingiza kwenye mapenzi kwa kufanya hivyo utakuwa na uwezo wa kugundua mambo mengi kutoka kwake hata akijifanya msanii wa aina gani. Hapo ndo unaweza kuendeleza mahusiano au kumpotezea. Fanya mambo yako mengine kama vile haujawahi kuwasiliana nae kama ataona anahitaji kukufahamu basi atakutafuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom