Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,698
- 116,780
daaa ebwana ww upo.hukuniona na lialia humu jf kukutafuta ngoja nikutumie mjumbe aje
Mi nipo kwi kwi nimeona bt late,ila npo nakudraftia pm hapa jiandae....
daaa ebwana ww upo.hukuniona na lialia humu jf kukutafuta ngoja nikutumie mjumbe aje
Haaa Mkuu, Utasahau japo ni ngumu, na inategemeana na wewe unafanya nini kwa sasa, lakini either kama kuna kitu kinakufanya uwe inferior kwake kwa maana ya Kipato, ana mpenzi ambae ana vigezo zaidi ya ww, Elimu na vingine basi ujue utateseka sana...time haiponyi wanakudanganya
mapenzi mabaya sana!!!
hapa ndo muhimu sanapole sana kijana, hutakiwi kuwaza yaliyopita maisha lazima yasonge mbele, stand strong and go ahead am sure utapata mwingine maybe huyo hakua chaguo kutoka kwa mungu na ungeweza kuumia na kuteseka zaidi ya hapo if mngeendelea kuwa pamoja, everything happens 4 a reason bro.
nadhan hili swala linahitaji UJASIRI ULIOTUKUKA,SIO JAMBO RAHIS HILI MDAUumesema ukweli kabisa Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!
Fanya shughuli zako, jichanganye na watu, make new friends if you can, usitafute mwingine sasa.... subiri mpaka machungu yaishe, Mungu kattumba na hali ya kusahau..
Pole!
nadhan hili swala linahitaji UJASIRI ULIOTUKUKA,SIO JAMBO RAHIS HILI MDAU
Pole ningekuwa na single ningejitolea kukupenda make unatia huruma dah!
umesema ukweli kabisa
Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo
nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama
pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni
wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali
anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!
Haaa Mkuu, Utasahau japo ni ngumu, na inategemeana na wewe unafanya nini kwa sasa, lakini either kama kuna kitu kinakufanya uwe inferior kwake kwa maana ya Kipato, ana mpenzi ambae ana vigezo zaidi ya ww, Elimu na vingine basi ujue utateseka sana...time haiponyi wanakudanganya
umesema ukweli kabisa Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!
sijui kwa nini mungu alitupa weakness kubwa kwa hao watu dah .!
Kweli mapenzi hayana mbabe wala mjanja! Hata wewe umekamatika? Pole sana lol! Inatia moyo lakini kuona kumbe hata Simba aweza kuchezewa masharubu!
Alshabaab nimeipenda hii! "weakness" nadhani ni upendo wa dhati na sio weakness!