Nampenda, Nampenda....nimekuwa addicted kwake bt aliniacha ghafla...ni mwaka sasa nateseka!

Get busy man...fanya mengine hutamsahau ila maumivu hutakuwa na muda nayo.
 
Haaa Mkuu, Utasahau japo ni ngumu, na inategemeana na wewe unafanya nini kwa sasa, lakini either kama kuna kitu kinakufanya uwe inferior kwake kwa maana ya Kipato, ana mpenzi ambae ana vigezo zaidi ya ww, Elimu na vingine basi ujue utateseka sana...time haiponyi wanakudanganya

umesema ukweli kabisa Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!
 
Last edited by a moderator:
pole sana kijana, hutakiwi kuwaza yaliyopita maisha lazima yasonge mbele, stand strong and go ahead am sure utapata mwingine maybe huyo hakua chaguo kutoka kwa mungu na ungeweza kuumia na kuteseka zaidi ya hapo if mngeendelea kuwa pamoja, everything happens 4 a reason bro.
 
Formular ya kumsahau mtu kiurahisi,yale mabaya yake ndo yatawale akili yako sahau kuhusu good times...Kumbuka there a lot of fishes in the sea...
 
pole sana kijana, hutakiwi kuwaza yaliyopita maisha lazima yasonge mbele, stand strong and go ahead am sure utapata mwingine maybe huyo hakua chaguo kutoka kwa mungu na ungeweza kuumia na kuteseka zaidi ya hapo if mngeendelea kuwa pamoja, everything happens 4 a reason bro.
hapa ndo muhimu sana
 
umesema ukweli kabisa Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!
nadhan hili swala linahitaji UJASIRI ULIOTUKUKA,SIO JAMBO RAHIS HILI MDAU
 
Last edited by a moderator:
Fanya shughuli zako, jichanganye na watu, make new friends if you can, usitafute mwingine sasa.... subiri mpaka machungu yaishe, Mungu kattumba na hali ya kusahau..
Pole!

mkuu eli yaani hata kuingia hapa jf kunasaidia sana kuondoa kadhia na maudh ya kiulimwengu,,,,,
 
Last edited by a moderator:
umesema ukweli kabisa
Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo
nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama
pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni
wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali
anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!

Mkuu huyo mtu sio wako tena, huyo alikuja na "love with Attachment"...ni either alkua anafata kwako Pesa, au kuna kingine cha zaidi pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Haaa Mkuu, Utasahau japo ni ngumu, na inategemeana na wewe unafanya nini kwa sasa, lakini either kama kuna kitu kinakufanya uwe inferior kwake kwa maana ya Kipato, ana mpenzi ambae ana vigezo zaidi ya ww, Elimu na vingine basi ujue utateseka sana...time haiponyi wanakudanganya

Upo sawa kabisa lazima kuna chanzo haiwezekani iwe ghafla,........!!!!
Hebu funguka Aidan hapo tukupe course ya ukweli vitu vidogo sana hivyo!!!
 
umesema ukweli kabisa Az 89 mm mwenyewe ninae wa dizaini hiyo nilishakufa nitaoza kwake lakini yeye duh majanga anataka nimsujudu kama pilato miezi imekatika hata ile missed call ya kutaka kujua na mimi ni wake no.!
lakini nampenda sana moyo umekataa kabisa kukubaliana na hali anayonifanyia basi ni mawazo na kukondeana kuso kifani
ila tupeane pole sana mtoa mada yote yatapita tuu.!

Kweli mapenzi hayana mbabe wala mjanja! Hata wewe umekamatika? Pole sana lol! Inatia moyo lakini kuona kumbe hata Simba aweza kuchezewa masharubu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom