Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
- Thread starter
- #21
eyeeee...! Kama una kifua cha plastic uishie hapo, lakini kama una uhakika kuwa una kifua cha chuma useme nikupe products za great thinking....!
offcorse najiamini sana tu
eyeeee...! Kama una kifua cha plastic uishie hapo, lakini kama una uhakika kuwa una kifua cha chuma useme nikupe products za great thinking....!
Kama kweli unajiamini ningeomba unisaidie kujibu maswali haya kwa kifupi;offcorse najiamini sana tu
Unauliza nawewe kesho mwambie hivyo hivyo!!Akiendelea mwambie nampenda Mamayako mwambie namsalimia!!:mod:
Huyo ni mtani wako, usijali maana kama angekuwa anampenda kwa kumtamani asingekwambia.
kama huna amani mwambie ukweli hupendi utani wake...baasi.
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
Hilo ndo la msingi maana my wife wako tena duh!!!!!!!!!Mlimazuzu kweli sijawahi kumwambie wife ila jamaa kila nikikutana naye anasisitiza sasa nimechoka sana.........nataka kutembea na panga sasa
Hii ni kawaida sana - kule kwetu Bukoba - unapoagana na mtu unamwambia - "nifikishie na salamu zangu za upendo kwa wanafamilia wako wote" - "olangondeza abawe"...
Ni vyema na wewe ukamjibu kuwa "wasalimie mkeo na watoto wako, waambie nawapenda"...