Nampenda mke wakooooooooo!!!!!

offcorse najiamini sana tu
Kama kweli unajiamini ningeomba unisaidie kujibu maswali haya kwa kifupi;
1. Je, huwa unamfahamu mkeo kwa reactions anapozungumza body language?
2. Umepata kufikisha ujumbe huu kwa mkeo?
3. Umepata kumpa na rafiki yako salamu kwa namna hii azifikishe kwa mtu wake wa karibu?
4. Kama tutaendelea kuchanachana hii habari, upo tayari kukabiliana na matokeo, tena bila kuvunja ndoa yako?

Note: Tafadhali, usijibu kama ambavyo ungetaka yawe, bali jinsi yalivyo kwa mtazamo wako...!
 
inaonyesha mnataniana,watu wengine wanaangalia mtu wa kumwambia matani,saa nyingine,ukimuheshimu mtu na yeye anakuheshimu.kama unaona utani wake umepitiliza si umwambie?
 
Unauliza nawewe kesho mwambie hivyo hivyo!!Akiendelea mwambie nampenda Mamayako mwambie namsalimia!!:mod:


Hapana mambo ya kuingiza wamama jamani, unajua sisi mama zenu tuna thamani sana!!!!!!!!!! Yeye amwambie na wewe msalimie mkeo/au mpenzi wako tena amwambie mbona jana hakutokea pale walipokuwa wamehaidiana? Halafu anapendaga lips zake. You wat if u do me once I do U twice. Kwanza mihadi, pili lips.
 
kama huna amani mwambie ukweli hupendi utani wake...baasi.

Usipende kuumiza roho yako, mwambie hasikutume ujumbe huo na uonekane seriouse.
pia fuatilia nyendo inawezekana anabeep aone utachukuliaje, ukionekana uko poa anaingia kiukweli kwa mkeo
 
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

Hii ni kawaida sana - kule kwetu Bukoba - unapoagana na mtu unamwambia - "nifikishie na salamu zangu za upendo kwa wanafamilia wako wote" - "olangondeza abawe"...

Ni vyema na wewe ukamjibu kuwa "wasalimie mkeo na watoto wako, waambie nawapenda"...
 
Mara nyingi utani utania na msikhara kama hayo ndio hupelekea watu kuchakachuana bila kutegemea! Ikemee hiyo tabia!
 
1.mambo ya kawaida tu au humuamini mkeo???? Jamaa????
2.kimsingi,unatakiwa udharau ujumbe kama huu,ila itakuwa tatizo ukaenda kumweleza mkeo????
3.kwa maana nyingine ni kuwa anamtongoza mkeo kupitia kwako.
 
Samahani kaka ila kama mie wewe nisingefikiria kubeba panga bali ningefikiria kuwa mwangalizi zaidi. yaani kwa mie kama rafiki yangu sio sana nae close sidhani kama nikioa mke wangu atamwita shemeji, I mean sio kila rafiki ni a close one na huyu sio kwako.

Mkikutana wape ukumbi waongee wewe usiongee sana ona kama wamezoeana zaidi ya ujuavyo. Labda kashamtongoza omba Mungu kuwe hakuna kinachoendelea

Au labda walishatoka wote etc

Utani mwingine huwa wa kuficha mambo
 
Hii ni kawaida sana - kule kwetu Bukoba - unapoagana na mtu unamwambia - "nifikishie na salamu zangu za upendo kwa wanafamilia wako wote" - "olangondeza abawe"...

Ni vyema na wewe ukamjibu kuwa "wasalimie mkeo na watoto wako, waambie nawapenda"...

Mtu anasema anamtuma kwa MKE wala haweki sentensi ndefÙ wala watoto na ndugu ni mkewe tu
 
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

kifulambute inategemea we na jamaa yako mko na mazoea ya aina gani, ila angekuwa ni mimi cku ya kwnz ntajifanya cjaelewa, ya pili ntamwomba 2heshimiane, ya 3 itakuwa siriaz case.
 
Unauliza nawewe kesho mwambie hivyo hivyo!!Akiendelea mwambie nampenda Mamayako mwambie namsalimia!!:mod:

ha,ha,ha,ha,haaa.. Unasema? Unampenda mama yake duh? Ila kwel anaweza akaacha mana watu wengne bana wanakuwa kama wa++ng+ mana kunamambo ya kutaniana na kunamambo ya kuheshmiana lakn unalikuta jitu likijua haupend nini linakukazania. Sasa kaka kama alivyosema jamaa hapojuu mwambie unampenda sana kizazi chakwao cha kike yan kwanzia mama yake mpka mkewe hata mtoto wake wa kike. Na akiendelea jitahid ujue anaish wap ili akuone upo serious kwel
 
Akikwmbia tena,mwambie hata me nakupenda huku unamuangalia maeneo ya haja kubwa,uone na yeye atajisikiaje.
 
wewe alishasema hivyo muite karibu yako na mwambie kuwa hupendi kuambiwa hayo maneno na kama akiendelea achana naye usiendelee kuongea naye tena au kuzoeana naye. halafu angalia kuwa hakuna uhusiano wowote na wife wako/?
Amani iwe nawe:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom