Nampenda lakini naogopa kibuti

BE,Bacha,etc Hawa watu wako wapi?kweli wanatiwatiwa hovyo vidole machoni wanabaki kimya??Dena Amsa inaelekea umeridhia sikusikii kukemea kwa nguvu zako unaishia kusema eti nita ku pm!!!wewe leo wakusema hivyo??hata fungate alijaisha?!!nijuzi tumewafungisha ndoa na BE mwenyewe ukatamka BE ndo moyo wako umejikwaa kwake leo hii unashawishika kwa jasiri??kweli Dena Amsi????siamini!!

KK nilishatoa ahadi mbele ya paroko siwezi kuvunja ahadi yangu na BE kamwe hawa ni watoto unakwenda nao taratibu tu Jasiri hawezi kunifanya nivunje ahadi yangu kwa BE hata kidogo wewe ni shahidi. Unajua tunapiga sala kwa kuomba mwaka 2011 uwe mwema kwetu. Thanks kwa angalizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom