Nampenda ila hanitaki hata kunisikia

Hapo mguu pande, mguu sawa,,, tulia kwanza umpime upepo. Usijionyeshe kwake kuwa una shida sana man!!! kama ni mpango wa Sir God utampata and vise versa is true.
 
Hivi inakuaje mwanaume unalilia mwanamke?nyie wenzangu huwa mna mioyo ya namna gani?
 
Ivi inawezekana hayo mambo yakawepo syo?
I was jus kiddin. Kwanza tambua kila likuepukalo ni kheri, kama hataki we chuna tu, usimlazimishe punda kubeba contena, atakufa alaf ujilaumu. Kama hataki tupa kushoto angalia ustaarab mwengine..
Ila kama unaweza niPM namba yake ya simu nijaribu kukusaidia kumuelewesha
 
Wewe utakua shabiki wa ccm tu...
 
Kama anapenda visharobaro nawe kuwa sharobaro.Kwani kuna ugumu gani kuwa sharobaro au Mzee huwezi kulamba lips?
We utakuwa mwanaume wa mkoani
Hahaha Kwani hamuonagi mond snapchat achukue maujuzi nene.
 
Kwani lazima kuwa na mwanamke km amakataa we chukua time tu, mie mbona sina mwanamke lakini naenjoi life tu, mimi mwenyewe huwa wananikataa km ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom