Nampenda ila hanitaki hata kunisikia

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,634
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!

Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??

Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!

Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
 
Huwezi jua mungu ana mipango gani na wewe ila kua mvumilivu katika hilo kwani jambo zuri halihuitaji haraka!!!!!
 
Kama anapenda visharobaro nawe kuwa sharobaro.Kwani kuna ugumu gani kuwa sharobaro au Mzee huwezi kulamba lips?
We utakuwa mwanaume wa mkoani
Si unajua kuishi maisha ambayo syo yako n kaz!! Ila angalau ningejua kua ndio hicho kigezo ambacho kinafanya asinipende
 
Tafuta goto wewee. Tumia uchawi wa kizungu. Kata mpunga kama Kyela.

-Kaveli-
 
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!

Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??

Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!

Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Peleke Fesibuku au Instagram hii mada,huko utapata msaada kutoka kwa watoto wenzako,acha kuishushia hadhi JF
 
10000-Tanzanian-Shillings.jpg

Pesa ya madafu.

chambo hiyo hapo, vua dagaa huyo
 
Dah, sasa ungejua unavyozidi kumfatafata ndio unamkeraa balaa!!!
Tatizo umeonesha una shida nae sanaaa...Cha kufanya we piga kimya ghafla uone jinsi atakavyokuja baluuuu kwako!
Asipokuja nenda kwa kakobe au bulldozer maana hamna namna sasa!
 
POLE KWA KUPENDA PASIPO PENDEKA....JIFUNZE KUWA MWANAUME WA KWELI HUWA ATONGOZI DEMU MARA 2....HAKIKISHA UNATONGOZA MARA MOJA AKIKATAA MPOTEZEE ILA USIMCHUKIE MFANYE AWE RAFIKI MUDA SI MREFU UTAMPATA ILA UKIMLAZIMISHA NA KUMKUMBUSHA MARA KWA MARA ATAZIDI KUKUUMIZA NA KUKUONYESHA VIJANAUME VINGINE ANAVYOTEMBEA NAVYO HII YOTE NI KWASABABU UNAMLAZIMISHA HIVYO ANAJIJENGEA PICHA KUWA UNAMPENDA SANA.
 
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!

Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??

Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!

Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Tafuta mwanamke atakaye kuelewa huyo hata akikukubalia ata kutesa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom