Nampenda binti wa chumba cha jirani

Monomer

Senior Member
Nov 23, 2023
113
193
Wakuu nimwambie au nimyuti tu nisije nikalizua, kuna mtoto wa kike chumba Jirani na Mimi namzimikia kinoma naogopa kufikisha ujumbe kwakua ni nyumba moja na wife asije akajua ukawa ugomvi.

Au mfano akinichomolea itakuaje naombeni ushauri nife na tai shingoni au nijilipue kiunaume tu.
 
Binti wa chumba cha jirani😁😁😁
316520.jpg
 
Back
Top Bottom