Namna ya kufunga pampu ya kusukuma maji kwenye mitambo mikubwa

john nganya

New Member
Jul 2, 2021
1
0
Naomba kuuliza kwa yeyote anaye fahamu chuo kinacho toa mafunzo ya muda mfupi wa namna ya kutengeneza na kufanya marekebisho ya pampu.
 
Aisee
hii ndio posti na meseji yako ya kwanza tokea ulivyojiunga mwaka juzi..
karibu jf
 
Back
Top Bottom