Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,603
Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana

1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana.

Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi wangu nikiwajumlisha ni watu ambao hawakubahatika kupata elimu. Mimi mama yangu elimu yake lasaba. Baba naye elimu yake la nne.

Kuweni na huruma jamani, hawa watu uwezo wao wa kiakili sio mkubwa kiasi hicho. Yaani kwa akili ya darasa la nne na la saba ambazo wazazi wetu wengi ndo wanazo, ujue tu kwamba wanapata changamoto kubwa za maisha.

Sasa kama wamepambana wakakusomesha, aisee ndugu zanguni hawa watu wasaidiwe bila kuwekewa mipaka. Bora kulalamika rohoni ila kuwasemelea kwa kadamnasi hii... Aisee sio sahihi kabisa.

Halafu hela zenyewe hizi unatafutaaa, wala hata hutaishi milele. Unakufa leo wanao kesho wanauza mali za urithi ambazo ndo upo busy kweli kweli ku save na kuzitolea jasho, kjwanyima wazazi na ndugu... Hahahahaha aiseee hahahahahaaaa inafikirisha sanaaa

2. Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako huu uzi nao umeletwa na lijendari great thinker Chizi Maarifa japo kweli uzi una mashiko ila isiwe too much. Kutembeleana nyumbani kweli ni jau, sio tu kwa wanaoishi Dar hata sisi wengine mikoani, ila point kubwa mi naona kama una uwezo wa kusaidia. Jikune pale unapofikia saidia watu kiroho safi.

Haidhuru kulipa ada ya 100,000 kwa mtoto wa ndugu yako huko kijijini kwa mwaka mzima. Kama anao watoto 13, saidia hata hao 3 ukitoa hata laki tano kwa mwaka wakapata ada na uniform najua hutapungukiwa kitu, naamini hivo, na utabarikiwa saaana. Hizo ndo pesa za fungu la kumi na sadaka zinapaswa kutumika. Tuwe na moyo wa kusaidia jamani wengine. Hii kuwa mabepari sio ustaarabu wetu mtanzania na mwafrika.

Kubwa kuliko jamani, kubwa kulikoo 'Tutafuteni helaa' maisha yatakuwa ni hakika, haya malalamiko madogo sana haya jamani... kusaidia wazazi, kusaidia ndugu!!!! Aaaahh hii inakataa kabisa aiseee...

Aaaaah jamani, duniani tunapitaaa matajiri na great thinkers wa jamii forum.

Hakikaaa, Hiyo imeenda hiyo
N. Mushi
 
La saba + la nne = 11
Ina maana hata wangesoma wangekuwa wameishia f4
Yote ya yote mzazi ni mzazi jamani
Ndo reality aiseee. Juzi kati nimemtembelea mama alichemshaa maharage si akataka aweke kwenye frijii.

Akaniulizaa 'Hii si ninaweza kuwekaa'... nikamuambia 'weeee usijaribu kabisa mama'.m basi yaaani ila nikiwaangalia wazazi na elimu zao na watoto wao tulipoo na elimu zetu. Kuna saa unaona kama uchawi hivi. Hahahahahaaa
 
Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana

1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana.

Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi wangu nikiwajumlisha ni watu ambao hawakubahatika kupata elimu. Mimi mama yangu elimu yake lasaba. Baba naye elimu yake la nne.

Kuweni na huruma jamani, hawa watu uwezo wao wa kiakili sio mkubwa kiasi hicho. Yaani kwa akili ya darasa la nne na la saba ambazo wazazi wetu wengi ndo wanazo, ujue tu kwamba wanapata changamoto kubwa za maisha.

Sasa kama wamepambana wakakusomesha, aisee ndugu zanguni hawa watu wasaidiwe bila kuwekewa mipaka. Bora kulalamika rohoni ila kuwasemelea kwa kadamnasi hii... Aisee sio sahihi kabisa.

Halafu hela zenyewe hizi unatafutaaa, wala hata hutaishi milele. Unakufa leo wanao kesho wanauza mali za urithi ambazo ndo upo busy kweli kweli ku save na kuzitolea jasho, kjwanyima wazazi na ndugu... Hahahahaha aiseee hahahahahaaaa inafikirisha sanaaa

2. Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako huu uzi nao umeletwa na lijendari great thinker Chizi Maarifa japo kweli uzi una mashiko ila isiwe too much. Kutembeleana nyumbani kweli ni jau, sio tu kwa wanaoishi Dar hata sisi wengine mikoani, ila point kubwa mi naona kama una uwezo wa kusaidia. Jikune pale unapofikia saidia watu kiroho safi.

Haidhuru kulipa ada ya 100,000 kwa mtoto wa ndugu yako huko kijijini kwa mwaka mzima. Kama anao watoto 13, saidia hata hao 3 ukitoa hata laki tano kwa mwaka wakapata ada na uniform najua hutapungukiwa kitu, naamini hivo, na utabarikiwa saaana. Hizo ndo pesa za fungu la kumi na sadaka zinapaswa kutumika. Tuwe na moyo wa kusaidia jamani wengine. Hii kuwa mabepari sio ustaarabu wetu mtanzania na mwafrika.

Kubwa kuliko jamani, kubwa kulikoo 'Tutafuteni helaa' maisha yatakuwa ni hakika, haya malalamiko madogo sana haya jamani... kusaidia wazazi, kusaidia ndugu!!!! Aaaahh hii inakataa kabisa aiseee...

Aaaaah jamani, duniani tunapitaaa matajiri na great thinkers wa jamii forum.

Hakikaaa, Hiyo imeenda hiyo
N. Mushi
We unasumbuka na Mpwayungu Village anafuraisha genge kukicha yeye ndo yuwaomba pesa ya kula kwa mama ake labda ungesema Chizi Maarifa huyo cheti chake kina lamination tatu.
 
humethahau kuweka namba ya thimu hapo mwisho wa bandiko chini ya jina
 
Ndo reality aiseee.... juzi kati nimemtembelea mama alichemshaa maharage si akataka aweke kwenye frijii...

Akaniulizaa 'Hii si ninaweza kuwekaa'... nikamuambia 'weeee usijaribu kabisa mama'... basi yaaani ... ila nikiwaangalia wazazi na elimu zao na watoto wao tulipoo na elimu zetu... kuna saa unaona kama uchawi hivi.... hahahahahaaa
Mimi sijakuelewa hapo kwenye maharagr kuweka kwenye friji. Kwamba yalitakiwa yapoe kwanza au? Context
 
Back
Top Bottom