jamii forum.

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania, according to AllAfrica. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional media for reporting issues in Tanzania. According to Washington Post, recent Tanzanian bills have caused significant worry over potential media crackdown in Tanzania.

JamiiForums was officially launched in March 2006 with the name JamboForums, and comprised several online subforums. In May 2008 they changed their name to JamiiForums due to copyright issues. In March 2016, Jamii Media filed a lawsuit against the federal Tanzanian police force, alleging that the police force's power to demand personal information of individuals suspected of crimes was unconstitutional. The case will be processed through the High Court of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. 2

    Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  2. Naanto Mushi

    Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  3. K

    Umuhimu wa motisha kwa wafanyakazi

    Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
  4. F

    Kwa mara nyingine, Asante JamiiForums

    Napenda kutoa shukrani zangu kwa jukwaa hili hasa members kwa jinsi mnavyo changia mijadala mbalimbali. Kwa namna ya pekee naushukuru uongozi wa jukwaa hili. Kwa mara nyingine tena nilileta humu KERO fulani na ikatatuliwa. Ikumbukwe Jana nilileta habari ya makarani kunyanyaswa na viongozi wa...
  5. Mr Dudumizi

    Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
  6. The unpaid Seller

    Nawaaga JamiiForum kwaherini

    Salaam wakuu, Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk. Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF hata wakati wa kutekeleza majukumu yangu najikuta nimechepuka niko JF, mke wangu ananilaumu muda wote...
  7. ROJA MIRO

    SoC01 Dhana kwamba huwezi kufanikiwa ulipozaliwa (kukulia) na msemo, ”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  8. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    •MAENDELEO ni MAFANIKIO Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie. •Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo? Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
  9. Abdalah Abdulrahman

    Kuimarisha mitandao yetu ya kijamii na kuondokana na Utegemezi wa Facebook, WhatsApp na Instagram

    Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa manufaa bila kuvunja Sheria,na Kundi la pili ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa...
  10. Roving Journalist

    Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Mike William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Hukumu hii awali ilipangwa kutolewa Novemba 26, 2019...
  11. Sanyambila

    Uzi wa kuweka mikasa ya utapeli wa mali, pesa kwa njia mitandao

    Wajumbe wa kikao aka mkutano, habari zenu na poleni na majukumu. Leo nimekuja na agenda hiyo juu kuhusu utapeli wa kimtandao na wa rejareja wakati maisha yakiwa magumu huku kuna watanzania wenzetu wanapiga hela kwa wenzao kwa kutumia uongo uliokaribu na ukweli. Kuna utapeli wa wa aina nyingi...
Back
Top Bottom