Nambaa hii ya wapi 0272549255-msaada wa haraka

Jembe hiyo # ya chumba kwenye gesti 1 ipo buguruni inaitwa "MACHINJIO GUEST HOUSE" pengine kuna basha wako anakusubiri!
 
Mkuu naona ukipata hiyo kazi tutakupoteza humu jamvini (kijiweni). Kila la kheri....!
 
Jembe hiyo # ya chumba kwenye gesti 1 ipo buguruni inaitwa "MACHINJIO GUEST HOUSE" pengine kuna basha wako anakusubiri!
 
mkuu angalia namba vizuri. hiyo code namba ni ya moshi na namba za moshi mara nyingi zinaanzia na 27. yaaani ukimaliza code 027 inafuata tena 27...yaani inakuwa 02727.... hiyo namba yako utatafuta sana na hautaipata. labda kama ni toleo la wiki hii. so angalia namba vizuri ndo urudi hapa. hiyo namba utakuwa umepigiwa kutoka mbeya. coz code namba ya mbeya ni 025..hiyo ndo inafuata 25m namba za mwanzo.
 
Back
Top Bottom