Nambaa hii ya wapi 0272549255-msaada wa haraka

wamoro

Member
Sep 16, 2009
62
16
Wadau naomba mnipe msaada wa haraka jana nimepigiwa simu na namba 0272549255 nikijulishwa kwamaba leo mchana nitafanyiwa interview ya ombi langu la kazi kwa njia ya simu.

Wakati hajamaliza kusema ni taasisi gani simu ikakatika aliishia kuniambia nafasi ya hr-

nimejaribu kupiga siku nzima simu iko busy na leo asubuhi pia.

Nashindwa kujua ni idara gani au taasisi gani kwani ndani ya mwaka huu tuu nimetuma maombai ya kazi sehemu sio chini ya 30.

Nisaidieni wadau nijue namba hiyo ni ya sehemu gani kwani siwezi nikajibu ipasavyo baadhi ya maswali bila kuijua taasisi yenyewe na kuifanyia online research hasa kujua kazi zao kwa undani.

Nisaidie wadau nina saa mmoja tu limebaki.
 
Mkuu Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Manyara ndo code zaohizo mkuu
 
CODE 027 ni ya Mikoa ya Arusha,Tanga,Manyara na Kilimanjaro
027-25xxxxx ni kianzio cha Arusha na Manyara
027-26xxxxx ni kianzio cha Tanga
027-27xxxxx ni kianzio cha Kilimanjaro

Kwa no.uliyotoa simu imetokea Arusha au Manyara.
 
ahsante wadau,je nitajua ni ya idara au taasisi gani? kwani arusha,tanga pia nimeomba kazi kwenye taasisi nyingi kwelikweli.
 
Nenda katika ofisi yoyote ya TTCL ya huduma kwa wateja iliyo karibu nawe watakusaidia kung'amua.
 
Ama tafuta fonebook, ila utahangaika sana. Ungejinoa kwenye hr principles. Wakikupigia wanyuke maswali kwanza, waulize wao ni kampuni gani. Mbele yako hakikisha una mtandao, uwa-google chap chap
 
Kama utabahatika kupata vile vitabu vya ttcl angalia hiyo namba kwenye mikoa ya Arusha,Tanga,Manyara na Kilimanjaro!
 
Hao wanakuyeyusha tu navyojua mimi ukkipigiwa cm ya interview kwanza huyu mtu lzm ajitambulishe,mimi naitwa flan kutoka shirika/kampuni flani,je we nin xxx? Ndio! Basi tunakuita kwenye usairi tarehe flan mahali flan,basii.
 
Mkuu kaa ukajua kama ni ridhiki yako utapata tu bila hata ya wewe kuanza tena kuwatafuta.Wakati wana no zako.Just keep calm and wait
 
Wadau naomba mnipe msaada wa haraka jana nimepigiwa simu na namba 0272549255 nikijulishwa kwamaba leo mchana nitafanyiwa interview ya ombi langu la kazi kwa njia ya simu.

Wakati hajamaliza kusema ni taasisi gani simu ikakatika aliishia kuniambia nafasi ya hr-

nimejaribu kupiga siku nzima simu iko busy na leo asubuhi pia.

Nashindwa kujua ni idara gani au taasisi gani kwani ndani ya mwaka huu tuu nimetuma maombai ya kazi sehemu sio chini ya 30.

Nisaidieni wadau nijue namba hiyo ni ya sehemu gani kwani siwezi nikajibu ipasavyo baadhi ya maswali bila kuijua taasisi yenyewe na kuifanyia online research hasa kujua kazi zao kwa undani.

Nisaidie wadau nina saa mmoja tu limebaki.

hiyo ni namba ya ikulu...nenda haraka sana
 
sijafaniki wa mkuu nimegogle wapi anagalia kwenye TTCl directory yao hakuna..kweli kazi maswali magumu ya hapo kwa hapo nitakua kazi kweli kama hata sijui kazi za mwajili ni zipi!!wadau msaada wenu jamani nakosa kazi hivihivi
Vipi mkuu, umefanikiwa??
 
Wadau naomba mnipe msaada wa haraka jana nimepigiwa simu na namba 0272549255 nikijulishwa kwamaba leo mchana nitafanyiwa interview ya ombi langu la kazi kwa njia ya simu.

Wakati hajamaliza kusema ni taasisi gani simu ikakatika aliishia kuniambia nafasi ya hr-

nimejaribu kupiga siku nzima simu iko busy na leo asubuhi pia.

Nashindwa kujua ni idara gani au taasisi gani kwani ndani ya mwaka huu tuu nimetuma maombai ya kazi sehemu sio chini ya 30.

Nisaidieni wadau nijue namba hiyo ni ya sehemu gani kwani siwezi nikajibu ipasavyo baadhi ya maswali bila kuijua taasisi yenyewe na kuifanyia online research hasa kujua kazi zao kwa undani.

Nisaidie wadau nina saa mmoja tu limebaki.
ni namba ya "wajenzi huru" hiyo kaka,hongera sana
 
Back
Top Bottom