Namba hii Ikipiga simu usipokee

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
0784-105582 - Hii ni namba ya Airtel inapiga simu kwa wateja kuwaambia habari za kipuuzi kabisa. Inapiga kuwapa Taarifa za Kuhusiana na Taarifa za mechi mbalimbali. sikuendelea kusikiliza maana tayari ilikuwa imeshanikwaza.

Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu suala la airtel kuwapigia wateja simu kuwapa habari za matangazo yao. mfano mimi leo nlikuwa kwenye shughuli maalum. nlipoona hiyo call kutokana na shughuli zangu ikabidi nikatishe shughuli ile nikitegemea kuwa atakuwa mtu wa maana amenipigia simu. nlipopokea ndo nikaanz akusikia habari hizo za kipuuzi nikakata simu. je kuna namna ya kublock simu kama hizi?
 
Nao wameanza upuuzi wa waleeee!!! ole wao wakinipigia nawahama mara moja
 
Basi wewe siyo mshabiki wa Man U, waulize wenyewe, hata vichwa vya habari vya michezo hawaangalii wenzio.
Me ni supporter wa Man Utd bro, kufungwa mbona kawaida tu watu tumeshasahau ila tutakachomfanya Man City kesho itakuwa ni ONYO
 
Nyote si ni wagonjwa tu!

Man City katoka kudroo baada ya kipigo cha 4-0, kwa hiyo nyote wagonjwa tu.
Kweli japo tukifungwa sisi ni furaha kwa wengi watu wanafurahi kwelikweli, Ila City ajashinda game ya 4 sasa ni kawaida tu..

UKWELI NI KWAMBA TIMU ZETU EPL NI MBOVU MBOVU TU.
 
Kweli japo tukifungwa sisi ni furaha kwa wengi watu wanafurahi kwelikweli, Ila City ajashinda game ya 4 sasa ni kawaida tu..

UKWELI NI KWAMBA TIMU ZETU EPL NI MBOVU MBOVU TU.

Mimi ni mshabiki wa Liverpool, yaani ninyi siwezi kabisa kuwaombea ushindi hata siku moja.
 
Mimi ni mshabiki wa Liverpool, yaani ninyi siwezi kabisa kuwaombea ushindi hata siku moja.
Wewe usije ukawa yule shabiki juzi watu tunatazama game ya chelsea vs man utd yeye kakazana kuisifia liverpool tu..

Mimi nyie wala siwachukii sana maana mmekuwa vilema tu kama sisi toka babu alivyoretire japo klopp kawapa viburi kweli imefika time na nyie mnauwaza ubingwa wa Epl sasa ivi
 
Yaani najilaumu kuzikosa point 3 kwa Man U, maana kila mtu anapita ila eti sisi tukadroo.
 
Kuna hii pia ya Voda +255901761234.

Wanapiga kama CM ya kawaida.. Afu utadhani ndg yako-kwa wiki wanapiga mara 2 au 4.

Kwasasa nimeamua kuiweka blacklist (blocked list).
 
Back
Top Bottom