Namba hii Ikipiga simu usipokee

Hii ni namba ya Airtel inapiga simu kwa wateja kuwaambia habari za kipuuzi kabisa. Inapiga kuwapa Taarifa za Kuhusiana na Taarifa za mechi mbalimbali. sikuendelea kusikiliza maana tayari ilikuwa imeshanikwaza.

nmekuwa nikilalamika sana kuhusu suala la airtel kuwapigia wateja simu kuwapa habari za matangazo yao. mfano mimi leo nlikuwa kwenye shughuli maalum. nlipoona hiyo call kutokana na shughuli zangu ikabidi nikatishe shughuli ile nikitegemea kuwa atakuwa mtu wa maana amenipigia simu. nlipopokea ndo nikaanz akusikia habari hizo za kipuuzi nikakata simu. je kuna namna ya kublock simu kama hizi?

Ingekuwa ni namba ya Demu imekupigia bado ungekimbilia huku JF kushtaki? Mkuu punguza ' stress ' najua yawezekana ' muamala ' bado haujasoma hivyo umejawa na zigo la msongo mawazo ambalo linakufanya uone kila jambo ni baya Kwako. Walioweka hiyo namba iwe inawapigia Watu siyo ' wajinga + wapumbavu ' bali ni Watu makini kama ulivyo Mtandao wangu bora kabisa ninaoutumia wa Airtel. Mbona hulalamikii Mitandao mingine ambayo na yenyewe ndiyo inaongoza kwa kuwa na mambo ya hovyo hovyo?
 
Huna haki ya kumtukana mkuuu...Umekosea sana.. It is not right kabisa.. Ana exercise freedom of choice ambayo ni moja ya mahitaji kumi muhimu ya binadamu...Wewe pia una freedom of choice but wakati una exercise huu uhuru lazima uuwekee mipaka kwamba uishie kwako wewe na usiwe bughudha kwa it should to extend to abusing others?
 
Ni wapi nimemtukuna? au unataka sasa nimtukane kweli ili uridhike na uelewe aina ya matusi? Mkuu najua nikifanyacho na nikisemacho na hapo sijamtukuna na kama maneno mjinga na mpumbavu ni ' matusi ' basi nadhani sina dhambi kuyataja kwani hata katika Kitabu ' tukufu ' cha Biblia neno ' mjinga ' limetajwa mara 14 na neno ' mpumbavu ' limetajwa mara 27 na Mitume na Wateule wa Mwenyezi Mungu na hata Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyatumia sana. Siku hizi nataka niachane ' kuwatukaneni ' hivyo usinirudishe tena ambako nimeapa kuachana nako.
 
Ni wapi nimemtukuna? au unataka sasa nimtukane kweli ili uridhike na uelewe aina ya matusi? Mkuu najua nikifanyacho na nikisemacho na hapo sijamtukuna na kama maneno mjinga na ******** ni ' matusi ' basi nadhani sina dhambi kuyataja kwani hata katika Kitabu ' tukufu ' cha Biblia neno ' mjinga ' limetajwa mara 14 na neno ' ******** ' limetajwa mara 27 na Mitume na Wateule wa Mwenyezi Mungu na hata Mwenyezi Mungu mwenyewe aliyatumia sana. Siku hizi nataka niachane ' kuwatukaneni ' hivyo usinirudishe tena ambako nimeapa kuachana nako.
Point hapa ni kwamba anayo haki ya kusema sipendi kitu fulani hasa kama kinambughudhi kwenye personal space yake. Kingekuwa hakipo kwenye space yake basi ile haki inakuwa nullified.. Huyu jamaa hajavuka persona;l space yake yupo mle ndani kwa hiyo ana haki kabisa ya kukataa kubughudhiwa faragha yake. Angekuwa anasema sipendi Gentamycine anachopost kwenye wall yake ya facebook au acoount yake ya Twitter hapo tungesema anaingilia space ya Gentamycine. Je Gentmycine anayo haki ya kumlazimisha bwana Sodoku kusikiliza kitu ambacho hakipendi? Kwa kufanya hivyo Gentmycine anakuwa amingilia personal space ya sodoku na kuvunja hitaji la sodoku kama binadamu. K question yeye kukataa kupokea simu kwa hiyo namba ndo huko nakuita kumvamia kwenye eneo lake la kujidai
 
Kuna hii pia ya Voda +255901761234.

Wanapiga kama CM ya kawaida.. Afu utadhani ndg yako-kwa wiki wanapiga mara 2 au 4.

Kwasasa nimeamua kuiweka blacklist (blocked list).
ukweli namba hiyo ni bored sanaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Tujarib tu kuheshimiana. Nina uhuru na simu yangu nlinunua kwa pesa yangu. Kuhusu muamala kusoma au kutokusoma naomba nisikujib nisije onekana nami ni aina ile ya wapumbavu.

Umewaza kwa namna ambavyo upeo wako unavyofikiri.siwez kukulaumu. Ndo utofaut wa binadam. Mimi nmezungumzia mtandao ambao umekuwa kero kwangu. Sipend kupokea simu za kipuuzi.kwa mtu binafs au kampun. Sipend.

Kama ningehitaj matangazo au promotion zao nadhan wana huduma kwa wateja. Ningeuliza huko.othersiwe ni huduma mbovu kunipigia simu nipo kazin kunambia promotion yao au huduma zao.ni uhuni na kuvunja hak zangu za msingi za kuwa na privacy au utulivu.

Ingekuwa ni namba ya Demu imekupigia bado ungekimbilia huku JF kushtaki? Mkuu punguza ' stress ' najua yawezekana ' muamala ' bado haujasoma hivyo umejawa na zigo la msongo mawazo ambalo linakufanya uone kila jambo ni baya Kwako. Walioweka hiyo namba iwe inawapigia Watu siyo ' wajinga + wapumbavu ' bali ni Watu makini kama ulivyo Mtandao wangu bora kabisa ninaoutumia wa Airtel. Mbona hulalamikii Mitandao mingine ambayo na yenyewe ndiyo inaongoza kwa kuwa na mambo ya hovyo hovyo?
 
Tujarib tu kuheshimiana. Nina uhuru na simu yangu nlinunua kwa pesa yangu. Kuhusu muamala kusoma au kutokusoma naomba nisikujib nisije onekana nami ni aina ile ya wapumbavu.

Umewaza kwa namna ambavyo upeo wako unavyofikiri.siwez kukulaumu. Ndo utofaut wa binadam. Mimi nmezungumzia mtandao ambao umekuwa kero kwangu. Sipend kupokea simu za kipuuzi.kwa mtu binafs au kampun. Sipend.

Kama ningehitaj matangazo au promotion zao nadhan wana huduma kwa wateja. Ningeuliza huko.othersiwe ni huduma mbovu kunipigia simu nipo kazin kunambia promotion yao au huduma zao.ni uhuni na kuvunja hak zangu za msingi za kuwa na privacy au utulivu.

Ingekuwa ni namba ya Demu imekupigia bado ungekimbilia huku JF kushtaki? Mkuu punguza ' stress ' najua yawezekana ' muamala ' bado haujasoma hivyo umejawa na zigo la msongo mawazo ambalo linakufanya uone kila jambo ni baya Kwako. Walioweka hiyo namba iwe inawapigia Watu siyo ' wajinga + wapumbavu ' bali ni Watu makini kama ulivyo Mtandao wangu bora kabisa ninaoutumia wa Airtel. Mbona hulalamikii Mitandao mingine ambayo na yenyewe ndiyo inaongoza kwa kuwa na mambo ya hovyo hovyo?
 
Mkuu watu wanatofautiana malezi na uelewa. Kama nlivyojieleza kuwa sipend nipigiwe simu na mtandao wa simu hata wanitumie msg maana ni usumbufu kwangu. Lakini kuna watu ambao hata lugha nyepes kama hii nliyotumia wameshindwa nielewa na kuleta mifano inayoendana nao binafs wakiamin wote tunawaza kwa namna wawazavyo

Imagine umetulia unasubir simu muhimu then wanakupigia kukwambia kuna wimbo mpya kama unahitaj bonyeza namba flan. But mimi si mpenz wa nyimbo hizo hawaon kuwa ni makwazo tayari?

Au nmetulia kimya zinaingia msgs kuhusu bazaar ...sijui soko la simu mliman city nami sija subscribe kupewa jumbe kama hizo. Huu si uvunjifu wa haki zangu za msing?

QUOTE="Freelancer, post: 18214039, member: 11997"]Point hapa ni kwamba anayo haki ya kusema sipendi kitu fulani hasa kama kinambughudhi kwenye personal space yake. Kingekuwa hakipo kwenye space yake basi ile haki inakuwa nullified.. Huyu jamaa hajavuka persona;l space yake yupo mle ndani kwa hiyo ana haki kabisa ya kukataa kubughudhiwa faragha yake. Angekuwa anasema sipendi Gentamycine anachopost kwenye wall yake ya facebook au acoount yake ya Twitter hapo tungesema anaingilia space ya Gentamycine. Je Gentmycine anayo haki ya kumlazimisha bwana Sodoku kusikiliza kitu ambacho hakipendi? Kwa kufanya hivyo Gentmycine anakuwa amingilia personal space ya sodoku na kuvunja hitaji la sodoku kama binadamu. K question yeye kukataa kupokea simu kwa hiyo namba ndo huko nakuita kumvamia kwenye eneo lake la kujidai[/QUOTE]
 
Mkuu watu wanatofautiana malezi na uelewa. Kama nlivyojieleza kuwa sipend nipigiwe simu na mtandao wa simu hata wanitumie msg maana ni usumbufu kwangu. Lakini kuna watu ambao hata lugha nyepes kama hii nliyotumia wameshindwa nielewa na kuleta mifano inayoendana nao binafs wakiamin wote tunawaza kwa namna wawazavyo

Imagine umetulia unasubir simu muhimu then wanakupigia kukwambia kuna wimbo mpya kama unahitaj bonyeza namba flan. But mimi si mpenz wa nyimbo hizo hawaon kuwa ni makwazo tayari?

Au nmetulia kimya zinaingia msgs kuhusu bazaar ...sijui soko la simu mliman city nami sija subscribe kupewa jumbe kama hizo. Huu si uvunjifu wa haki zangu za msing?

True kampuni za simu zina tu violate sana...Wanatuingilia sana. Tutakuja kuwapa kesi siku moja ndo watashika adabuuu
 
sawa sawa mkuu wamekupata,mwenyew naona sio fresh wavofanya bhana jamaa hao wa mtandao husika.
 
Point hapa ni kwamba anayo haki ya kusema sipendi kitu fulani hasa kama kinambughudhi kwenye personal space yake. Kingekuwa hakipo kwenye space yake basi ile haki inakuwa nullified.. Huyu jamaa hajavuka persona;l space yake yupo mle ndani kwa hiyo ana haki kabisa ya kukataa kubughudhiwa faragha yake. Angekuwa anasema sipendi Gentamycine anachopost kwenye wall yake ya facebook au acoount yake ya Twitter hapo tungesema anaingilia space ya Gentamycine. Je Gentmycine anayo haki ya kumlazimisha bwana Sodoku kusikiliza kitu ambacho hakipendi? Kwa kufanya hivyo Gentmycine anakuwa amingilia personal space ya sodoku na kuvunja hitaji la sodoku kama binadamu. K question yeye kukataa kupokea simu kwa hiyo namba ndo huko nakuita kumvamia kwenye eneo lake la kujidai

Mkuu ni GENTAMYCINE na siyo Gentmycine tafadhali. Huwa sipendi na nachukia Mtu akikosea ID yangu kwani Mimi huwa sizikosei zenu na huwa sipendi pia ' lifupishwe ' bali napenda Mtu awe ' anatiririka ' nalo tu lote. Hata hivyo nimekusamehe kwani yawezekana ulipitiwa tu kidogo.
 
Tujarib tu kuheshimiana. Nina uhuru na simu yangu nlinunua kwa pesa yangu. Kuhusu muamala kusoma au kutokusoma naomba nisikujib nisije onekana nami ni aina ile ya wapumbavu.

Umewaza kwa namna ambavyo upeo wako unavyofikiri.siwez kukulaumu. Ndo utofaut wa binadam. Mimi nmezungumzia mtandao ambao umekuwa kero kwangu. Sipend kupokea simu za kipuuzi.kwa mtu binafs au kampun. Sipend.

Kama ningehitaj matangazo au promotion zao nadhan wana huduma kwa wateja. Ningeuliza huko.othersiwe ni huduma mbovu kunipigia simu nipo kazin kunambia promotion yao au huduma zao.ni uhuni na kuvunja hak zangu za msingi za kuwa na privacy au utulivu.

Basi haya ' malalamiko ' yako ungeyapeleka pale Customer Care Desk na siyo kutuletea huku ' lawama ' ambazo kimsingi ' hazituhusu '. au umeambiwa labda ' Members ' wa JF pia ni Customer Care wa Airtel?
 
Tujarib tu kuheshimiana. Nina uhuru na simu yangu nlinunua kwa pesa yangu. Kuhusu muamala kusoma au kutokusoma naomba nisikujib nisije onekana nami ni aina ile ya wapumbavu.

Umewaza kwa namna ambavyo upeo wako unavyofikiri.siwez kukulaumu. Ndo utofaut wa binadam. Mimi nmezungumzia mtandao ambao umekuwa kero kwangu. Sipend kupokea simu za kipuuzi.kwa mtu binafs au kampun. Sipend.

Kama ningehitaj matangazo au promotion zao nadhan wana huduma kwa wateja. Ningeuliza huko.othersiwe ni huduma mbovu kunipigia simu nipo kazin kunambia promotion yao au huduma zao.ni uhuni na kuvunja hak zangu za msingi za kuwa na privacy au utulivu.

Siku nyingine jifunze kutuma tu post moja JF inatosha na siyo kurudia rudia kwani sometimes inakuwa so ' monotonous '. au umeazima PC labda hivyo una ' ugeni ' nayo?
 
Kuna hii pia ya Voda +255901761234.

Wanapiga kama CM ya kawaida.. Afu utadhani ndg yako-kwa wiki wanapiga mara 2 au 4.

Kwasasa nimeamua kuiweka blacklist (blocked list).
hii namba ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom