Trade pesa zako bana. Kafanye kazi then fund account yako. Pili ww huna ndugu wenye pesa hiyo alafu uwafanye mamimionea?
 
  • Thanks
Reactions: 911

Attachments

  • Screenshot_20220730-131137_1.jpg
    Screenshot_20220730-131137_1.jpg
    21 KB · Views: 16
Mida ya Analysis ya wiki ijayoowakuu karibuni tupeane updates kwa ambao tupo pamoja....maana kesho ni siku ya kumshukuru Mungu kwa uhai na kujiandaa na soko j3
 
Tutaelewana tuh taratibu kaka
Mbona haujatoa majibu ya post #121 mengine yoote umejibu ila hiyo post unaivuka?

N.b
Price action +top down a alysis huwa inatumika na beginners wanaoanza ku trade maana haina mambo mengi na ku delay entries huwa ni kawaida sana kwao .

So baada ya kunitajia hivyo nimeshagundua wewe ni trader wa aina gani no offence.
 
Unajua maana ya transitional na swinger wise man
Transitional trading ? Means unaingia at low time frame closer to the resistance of a given pair ila una trace loss au ku increase profit at higher time frame !

Why getting so technical na haunijibu post yangu ya #121 ?
 
Mbona haujatoa majibu ya post #121 mengine yoote umejibu ila hiyo post unaivuka?

N.b
Price action +top down a alysis huwa inatumika na beginners wanaoanza ku trade maana haina mambo mengi na ku delay entries huwa ni kawaida sana kwao .

So baada ya kunitajia hivyo nimeshagundua wewe ni trader wa aina gani no offence.
Much know tuh huna lolote kaka Kwan lengo ni kutengeneza pesa ama kutumia strategy ngumu 😂😂😂 wabongo nyoso khaaa
 
Transitional trading ? Means unaingia at low time frame closer to the resistance of a given pair ila una trace loss au ku increase profit at higher time frame !

Why getting so technical na haunijibu post yangu ya #121 ?
Transitional trading ? Means unaingia at low time frame closer to the resistance of a given pair ila una trace loss au ku increase profit at higher time frame !

Why getting so technical na haunijibu post yangu ya #121 ?
Halina msingi ukiona hivyo
 
Back
Top Bottom