strawberry1
Member
- May 7, 2011
- 35
- 6
Mie ninae rafiki yangu wa kiume, tu marafiki wa kawaida tu. Tatizo ni kuwa hivi karibuni nahisi hali ya kumkosa sana anapokuwa yu mbali au hatuna mawasiliano. Nahisi kuuhitaji uwepo wake karibu nami au kuwasiliana naye mara kwa mara. tatizo lingine ni kuwa yeye ameoa na hivyo anabanwa na status yake ikimaanisha kuna muda ambao hatuwezi kuwasiliana, na pia si muda wote tutakuwa pamoja.
Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii
Je ni hii ni addiction au ni nini jamani? wanaJF naombeni ushauri wenu ili niepukane na hali hii