Nakusihi NILHAM RASHED

by the way just seen this somewhere thought i would share..... (Waiting for the Perfect Man ?)
skeleton-woman.jpg
 
Still Single...., ila kuna siku tulikubaliana kwamba haya mambo unaacha maji yanafata mkondo wake... feelings zikija automatically moyo utakubali, kutakuwa hakuna hata haja ya kuuliza... (na kama love ni reciprocal unapenda na wewe unapendwa alafu you have got things in common) that will be marriage made in heaven...., Na kwa vile this is a rare event..., when am ready i will just get someone, who really loves me, even if I dont, I will learn to love her....,

mmhh ntakujibu
ngoja niliweke hili jibu vizuri lol
 
kazi kweeeli, kila la kheri bro ila kwani ww umependa avatar yake au? maana kama avatar ndo yeye alivyo hata mm nakubaliana nawe la nakushauri muonane kwanza hata kwa soda then utaamua from there. Passport size sio full body so jiandae for suprises pia.

Hayo mengine mkuu ila kwa sura hiyo ya pasipoti saizi hata akiwa kiwete nachukua jumla.....
 
Siku na saa ikifika
pete sisi tutavalishana
Kwa radhi zake Rabukaj
Tuishi na kusikilizana

Watacheka watocheka
Na kununa watonuna
Miadi itakamilika
Tuliyoahidiana
 
Siku na saa ikifika
pete sisi tutavalishana
Kwa radhi zake Rabukaj
Tuishi na kusikilizana

Watacheka watocheka
Na kununa watonuna
Miadi itakamilika
Tuliyoahidiana

Mohammed,
Swali la kizushi..
Hivi hiyo avatar yako...does it represent purely & real u ??
 
Mwaka huu kazi ipo. Naona itakuwa kama kile kisa cha TOP QUEEN OF MOROCO ROAD katika wimbo ulioimbwa na vijana jazz enzi za miaka mwanzoni/mwishoni 1990. Mwenye wimbo huo naomba auweke hapa tuusikilize ili nieleweke vizuri
 
Am all ears, waiting anxioulsy..... :)

VOR samahani ila sijui waga nakufikiriaga kama mtu mzima mwenye familia na watoto as in age 35 kwenda juu.......nahisi una busara kuliko umri wako.....lol
Ningejua..........:thinking:
 
VOR samahani ila sijui waga nakufikiriaga kama mtu mzima mwenye familia na watoto as in age 35 kwenda juu.......nahisi una busara kuliko umri wako.....lol
Ningejua..........:thinking:

Asante sana really appreciate kumbe inabidi nibadilishe hii avatar na hili jina..., huenda nakosa mengi...., sasa tatumia hii hapa :msela:
 
VOR samahani ila sijui waga nakufikiriaga kama mtu mzima mwenye familia na watoto as in age 35 kwenda juu.......nahisi una busara kuliko umri wako.....lol
Ningejua..........:thinking:

duuuhhh
hujaonaga ile thread yake ya
kwanza kwanza ae..

jamaa ana akili na busara sana ..

aliwekaga wazi kwamba yuko single
and waiting hahahah loll
 
Kama uko tayari then go for it, thats my advice na wewe Nilham hebu msikize mwenzio jamani ee. Kasha sema maneno yote jamani. Fanya fanya mtima wa watu unaumia na wewe ndo sababu. "Nakumbuka wimbo wa Subalaheri mpenzi waonaje hali yako ....." plus "Mahaba ya dhati" sikiza mwenyewe hapa Mahaba Ya Dhati - Nasma Khamis.
 
Asante sana really appreciate kumbe inabidi nibadilishe hii avatar na hili jina..., huenda nakosa mengi...., sasa tatumia hii hapa :msela:

hapana iache tu hiyo avatar, kinachotoka kwenye akili yako na moyo chatosha kukupa mke mwema.......
 
Hashycool vipi?

wawili wakigombana shika jembe ukalime
Na wakipatana shika kapu ukavune
Sisi tuko pembeni nyie ngozi mjichune
Waungwana tunakoelekea, tumswalie mtume

Kisa hasa ni nini nawauliza enyi wanaume
nini kinachowakwaza mpaka cheche mteme
kama kweli shida ni Nilham basi si mseme
waungwana tunakoelekea, tumswalie mtume

Hashy mficha uchi hazai, ulitakiwa useme
Shoshi kakuwahi, kwa spidi ya umeme
Katupa kwanza maneno, kwa bibie Nilhame
Waungwana tunakoelekea, tumswalie mtume

Umeingia kwa kishindo, kujionesha kidume
Na maneno ya vitisho, ili tunda ulichume
Maneno yana yake mwisho angalia usijiume
Waungwana tunakoelekea, tumswalie mtume

Shoshi keshachuma tunda mwache ajinome
Anakutambia hadharani donge likukwame
Hashy uwe mpole na ujasiri wa kiume
Waungwana tunakoelekea, tumswalie mtume

Ni ukweli uso wazi Shoshy sasa ni mfalme
Neema imemshukia hakuna tena ukame
Ndani ya kiota katulia na bibiye Nilhame
Waungwana tunakoelekea, tumswalie mtume
 
duuuhhh
hujaonaga ile thread yake ya
kwanza kwanza ae..

jamaa ana akili na busara sana ..

aliwekaga wazi kwamba yuko single
and waiting hahahah loll

ha ha ha ha......haikuwa riziki,huyo wa kwako

Ningejuaga,usingekuwa unaongea nae sasa......lol
 
Back
Top Bottom