Nakusihi NILHAM RASHED

Mic check one two, mic check one two, hashycool unanipata vizuri hapo kwenye hizo spika??
 
Shossi bwana . . . . daaah, kaanza na moto wa kifuuu balaa
Ingekuwa kwa mwanaume mwingine ningeweza kusema utaibuka kidedea
Ila kwa hashycool, aaaaaaaaah no way aiseeee
Yaani hapo hata ukioga kwa maji moto, ukajisugua kwa dodoki kavu na sabuni ya mwarobaini, MJINI HUENDI KABISAAAA
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
may day....may day......we are going downnn.....
Mkuu leo watu walikuwa wamekaba angle zote hata sipumui kwenye kupiga penalti nako mkoloni anakaba kaja kukubali jioni baada ya kuona mechi inaisha droo ndio ikabidi asepe lol!!!
 
Mkuu leo watu walikuwa wamekaba angle zote hata sipumui kwenye kupiga penalti nako mkoloni anakaba kaja kukubali jioni baada ya kuona mechi inaisha droo ndio ikabidi asepe lol!!!

kaka acha story kwanza chopper ina enda down i need an immediate evacuation!....l.o.l
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom