Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
Shossi kaka yangu mi penda wewe sana
Usiwe wa kwanza kunirudisha nilikotoka
Msinitie mdomoni kwa yaliyoishapita
Najitahidi kusahau maisha yangu yaendelee
Najua mwaweza pendana tena sana
Si lazima mnizungumze ili iwe sawa
Waweza sema tu ukaeleweka bila nitaja
Najitahidi kusahau maisha yaendelee
Chonde Chonde kaka yangu
Nina moyo sina jiwe babu
Nisaidie na niombee kuweza sahau
Najitahidi kusahau maisha yaendelee
Usiwe wa kwanza kunirudisha nilikotoka
Msinitie mdomoni kwa yaliyoishapita
Najitahidi kusahau maisha yangu yaendelee
Najua mwaweza pendana tena sana
Si lazima mnizungumze ili iwe sawa
Waweza sema tu ukaeleweka bila nitaja
Najitahidi kusahau maisha yaendelee
Chonde Chonde kaka yangu
Nina moyo sina jiwe babu
Nisaidie na niombee kuweza sahau
Najitahidi kusahau maisha yaendelee