Habari wadau.
Natumaini wote wazima tunapambana kutafuta mkate.
Dhumuni langu ni kutangaza sehemu ya biashara barabarani kabisa eneo la Buyuni - Taliani (kuelekea chanika). Nakodisha eneo bure kwa biashara miezi 4 ya mwanzo. Baada ya hapo tunaingia mkataba wa kulipia kodi kwa miezi mitatu mitatu kwa makubaliano.
Sababu ya kukodisha ni kutafuta watu wenye uwezo wa kufanya biashara / kutanua biashara zao ambazo tayari zimeanza kuleta faida kutumia eneo hilo ili pachangamke.
Umeme upo, maji yapo. Hizi ni huduma utakazotakiwa kulipia kadiri biashara yako inavotumia.
Maelezo zaidi kadiri tunavyoendelea kuwasiliana hapa hapa au Dm. Chaguo ni lako.