Najutaaa kumfahamu JK!

Mimi nimemchoka kwa uongo na kutowajibisha na kuwajibika kama mkuu wa nchi. wewe umejuuta kwa lipi?

Umenena hapo,
Mwl.Nyerere alisema "tunahitaji rais atakeye ilinda na kuitetea KATIBA ya nchi na kuilinda na kama hatoweza kufanya hivyo hatufai kuwa rais wetu"

Pia akasema nchi haiongozi tuu kwa vichwa vyetuu basi bali kuna sheria zilizotungwa kwa ajiri ya kuendesha nchi na kama ukishidwa kuzitimiza basi hutufai.

mkuu umemaliza kabisa hapo
thanx big time
 
Jey Key naona tar 29 atataka kuwaambia kuwa nimekubali ushauri wa wazee napumzika rasmi
 
Back
Top Bottom