Najutaaa kumfahamu JK!

mimi najuta kumfahamu kwa sababu sijajua nia yake bado ya kuhutubia baada ya uchaguzi tena usiku wa kuhesabu kura.....hainiingii hii
 
mimi najuta kumfahamu kwa sababu sijajua nia yake bado ya kuhutubia baada ya uchaguzi tena usiku wa kuhesabu kura.....hainiingii hii
CCM inaamini kuwa sisi ni wajinga na tunaburuzika
Naungana na mwanakijiji kwamba itatangazwa hali ya hatari.
Kutembea kwa masaa na style za kutembea tutafundishwa ili tusivunje sheria.
 
Mimi nimemchoka kwa uongo na kutowajibisha na kuwajibika kama mkuu wa nchi. wewe umejuuta kwa lipi?

kanifanya maskini zaidi kuliko ilivyokua 2005, pia amepoteza direction ya kufikiria ya watz wengi, tunamhitaji Slaa aturudishe!!!
 
mimi najuta kumfahamu kwa sababu sijajua nia yake bado ya kuhutubia baada ya uchaguzi tena usiku wa kuhesabu kura.....hainiingii hii
i doubt he will do that kwani atakua ameanguka
 
Inawezekana huyu mshkaji maamuzi yake yote makubwa anapata 4rm rostam n lowasa. Tafakari...., chukua hatua!!!
 
Kuhutubia siku ya uchaguzi siyo kuvunja sheria za uchaguzi? Au atatangaza kuwa hawezi kutoka madarakani hata kama wananchi wamemkataa? Je anataka kuwa kiongozi wa kidikteta wa kijeshi? Simwelei huyu mtu. Hana uwezo wa kuongoza kabisa kwa nini asilione hilo. Akubali kushindwa kwa amani, aishie zake.
 
mimi najuta kumfahamu kwa sababu sijajua nia yake bado ya kuhutubia baada ya uchaguzi tena usiku wa kuhesabu kura.....hainiingii hii
Ana mpango wa kutangaza kuwa kashindwa kura maana ameshashindwa hata kabla hajapigiwa kura.
 
Mie nilijuta kutoka 2005. Nilikuwa mpinzan mkubwa wakat weng wenu mnamshabikia. Nilifukuzwa hadi kijiwe since i was against him when he was popular
 
Wachonga vigoda siku hizi ni wachache, lakini hata kukalia kidole inaruhusiwa .... ruksaaaaa!
 
Hands up!..JK who?..That dude is a famous Tanzanian artist right?..Help please!
 
Back
Top Bottom