Najutaaa kumfahamu JK!

kama kweli tuna uchungu na nchi, hizo five years lazima zituume sana!
 
Kura kwa Slaa trh 31 acheni maneno mingi, ongea na ndugu zako wa mjini vijijini waelimishe juu ya kura yao wasi ichezee kwa kumpa mtu hasiyefaa..
 
Kura kwa Slaa trh 31 acheni maneno mingi, ongea na ndugu zako wa mjini vijijini waelimishe juu ya kura yao wasi ichezee kwa kumpa mtu hasiyefaa..

ujumbe umefika, kila mtu angalau awashawishi watu watano hivi
 
Mbona siku ya uchaguzi haifiki ili nikamwadhibu huyu jamaa yetu kwa kura yangu moja nami nikafarajika kidogo wakati nikiilinda hiyo kura mita 100 kutoka kwenye kituo changu cha kupiga kura?
 
Face book ya JK. angalia watu wanavyompa live kwenye private yake. hahahaha
Displaying 1 - 10 out of 50 links.

Jakaya Kikwete




JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2010
Amezaliwa 7 Oktoba, 1950 katika kijiji cha Msoga, kata ya Lugoba, tarafa ya Msoga, Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Lugha ya mama ilikuwa Kikwere. Alizaliwa katika familia ya wanasiasa. Babu yake Mzee Mrisho Kikwete alikuwa chifu wa Wakwere. Baba ya...ke alikuwa Mkuu wa Wilaya Pangani, Same na Tanga. Jakaya Kikwete amesimulia hadithi ya kifamilia ya kuwa wakati mama yake alipokuwa mja mzito naye, Babu alitamka kuwa ikiwa mtoto atakuwa wa kiume atampatia urithi wa cheo chake.
Politician:5,447 people like this.

See More

8 hours ago · Comment · LikeUnlike · Share · Flag


  • 14 people like this.
    • Peter Mlundwa Mwachie dk slaa mzee!8 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

    • Yusuph Shifta Hana hapa ni hari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi. CCM oyeeeeeeeeeee...kidumu chama cha mapinduzi.8 hours ago · LikeUnlike · 5 peopleLoading... ·

    • Sitra Mahmoud kidumuuuu,mmh jaman i luv mr president n admire him kiukweli yaan 8 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Peter Mwininga Wataipenda wataipenda kwa moyo wa chuki wataipenda CCM CCM AA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NAMBA WANI HATA WAPINZANI WANAJUWA CCM NAMBA WANI,WEMBE NI ULE ULE KUPITA ULE USHINDI WEMBE NI ULE ULE KUPITA ULE USHINDI,ON 31oct VIJANA WEZANGU,DADA,KAK...A,MAMA,BABA,BIBI,BABU,NDUGU JAMA NA MARAFIKI BILA GHIRIBA TUKAKIPIGIE KURA CCM KWA MWENDO WA MAFIGA MATATU KUKISHIKILIA VIZURI CHUGU CHA KUPIKIA MAENDELEO YA KILA MTANZANIA KWA ARI ZAIDI,NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI,KUANZIA MH.RAISI DK.JAKAYA MRISHO KIKWETE,MBUNGE CCM,DIWANI CCM,PAMOJA TUZINDI KUSONGA MBELESee More
      8 hours ago · LikeUnlike · 5 peopleLoading... ·

    • Mohamed Karambo baba tuko pamoja 4 life. 8 hours ago · LikeUnlike ·

    • Ndikumana Blasiuss Usijali vijana 2po na CCM lazima ipite kwa kishindo na wembe uleule.ila 2sisahau kuanza na ibada makanisani hiyo jumapili na wale wenzetu waislam muombe ijumaa na wasabata waombe jumamosi ili wale wapenda fujo na wabishi wa kukubali matokeo washindwe. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,KIDUMU CHAMA TAWALA NA ADUMU MWENYEKITI WETU NA RAIS WETU MH.PREZ.CCM OYEEEE7 hours ago · LikeUnlike · 4 peopleLoading... ·

    • Zoheb Hasmani kama Dr. Slaa akishinda je utamwachia madaraka yote au utafanya kama kenya mgawanyo wa utawala?7 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Peter Mwininga Zoheb hasman kwanza sio jina lako sahihi,pili slaa ni >mwongo >mnafiki >mporaji wake za watu >msaliti wa upadri wa kanisa KATORIKI NA KUAMINISHA PEN...GINE MAPADRI WALIOPO WAENDELEE KUASI NA KUPOTEZA MWELEKEO WA KANISA KATORIKI >Mterekezaji kwa mwanamke alie zaa nae >mkurupukaji wa mambo anafanya bila kutafti kwa kina taarifa anazopewa >kawaongopea wazee wa EAC atashughukia tatizo lao wakati bosi wake mtei kama mshauri wake kipindi EAC inakufa alikuwa kiongozi wa EAC hakusaidia hata mmoja >kigeugeu huponda vyama vingine kuwa vimeweka wagombea wasiosoma hivyo kushindwa kutafasiri miradi ya halmashauri na taifa kwa ujumla wakati yeye katumia katiba anayoipinga kuwa haifai kupata mgombea mwenza >mroho wa madaraka yeye katibu mkuu,huyohuyu mwenyekiti wa MGO YA CCRBT na hampi nafasi ya kuongea mgombea mwenza ndo ujue nyuma kuna masterplan iliyopangw See More
      7 hours ago · LikeUnlike · 6 peopleLoading... ·

    • Mus Jamo People need to use Solar, wind, Ocean Wave, Tidal & Geothermal power.Solar cars, Electric cars etc.
      -----–✄-------->>>>>>>>> > ❷►
      http://www.facebook.com/pages/PETITION-for-CLEAN-energy-TECHNOLOGY-and-USE-OF-RENEWABLE-energy/133632243325904?v............=wall&filter=2
      -----–✄-------->>>>>>>>> > ❷►See More
      7 hours ago · LikeUnlike ·

    • Sagana Dismas ‎@Peter mwininga,inaonekana tatizo lko ni brainwashed,limbukeni,unatetea wezi,muogope mungu wako,unatak kusema jk msaf?,unajua nn?,nakuhakikshia,hata kama jk atashnda au kinyume chake,lkn mjue ufalme wenu wa ufedhuli umekwisha,kina zitto watazaliwa 50,bunge litkuwa dogo sana,usitegemee utaendlea upuuzi uleule,hakutkuwa na kulala tena,hamtofnya upuuzi tena,never.7 hours ago · LikeUnlike · 4 peopleLoading... ·

    • Mathias Joseph Achan kelele kwenye fb mtapiga kura.au ndio kelele za chura6 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading... ·

    • Deusdedit Charles Peter mwingira hata kama ume2mwa umeshashindwa. Kwanza nina wasi na uraia wako cause huna mapenzi mema kabisa na tz. Talkin nonsense.6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Deusdedit Charles Peter mwingira hata kama ume2mwa umeshashindwa. Kwanza nina wasi na uraia wako cause huna mapenzi mema kabisa na tz. Talkin nonsense.6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Mathias Joseph Mpinge shetan na naye tawakimbia.ache dhambi ya wiz wa kura na matusi6 hours ago · LikeUnlike ·

    • Minze Masebu MANENO YENU YOTE YA KASHFA, UDINI, UMWAGAJI DAMU N.K YOTE ALIYAJIBU VYEMA KWENYE MDAHALO WA JANA ITV. JK DR SLAA AMEKUFUNIKA ILE MBAYA, NYOTA YAKO ILIYONG'ARA NA ILIYOKUWA YA MATUMAINI KWA WATZ INAELEKEA KUZIMIKA KABISA. Ushauri wangu wa bure acha kujichosha kuendelea na kampeni USHASHINDWA. Maswahiba, mafisadi, na washauri wako wa karibu ndio waliokuponza. NAKUTAKIA MAPUMZIKO MEMA!!!!4 hours ago · LikeUnlike · 4 peopleLoading... ·

    • Patrick Matandala haya bwana kikwete kama nawe unaweza simama tupime hoja zako......najua huna ubavu so u better https://jamii.app/JFUserGuide off..
      umeshindwa kutatyua matatizo yetu KAA PEMBENI .slaa anaweza2 hours ago · LikeUnlike ·

    • Edith Sonje jamani kumbukeni kuongea ni tofauti na utekelezaji.... 2 hours ago · LikeUnlike ·

    • Cosmas Mtesigwa Peter Mwininga, wewe ni shabiki tu, maneno yako yanasadifu wasifu wako wa ndani..mbinafsi wewe muogope Mungu acha kujipendekeza kwa kusema vibaya wengine..about an hour ago · UnlikeLike · 1 personLoading... ·

    • Noel Gustav ‎@peter mwininga nafikiri kaka umefilisika sera na sio siri unakiaibisha chama chako cha mapinduzi ni heri kabisa bytes zako leo ukazitumia kuchat sio kuchangia mada.Tunahitaji politics we bado unaleta masuala ya wake za watu.Hujatoa kigezo... hata kimoja cha kisiasa cha kumkosoa slaa.Mbaya zaidi,unaleta masuala ya waasi wa makanisa wakati walioasi nchi huongelei.Inaonekana hata usia wa mwasisi wetu baba wa Taifa huujui,TANZANIA HAINA DINI..wangapi wameasi katoliki wakasilimu au kuokoka?..yana husiana vipi na mipango yetu ya maendeleo ya nchi ambayo ina wa2 wa kila imani?.We nenda kaabudu hata mti leo,ukigombea tutakuchagua kwa vigezo vya c.v yako ya uongozi wa kisiasa sio wa kanisa!.See More
      about an hour ago · UnlikeLike · 1 personLoading... ·

    • Ndikumana Blasiuss Waachen waonge,alikuwa Mrema enzi zile watu walimbeba matokeo yake tuliyaona alipata kura ngapi?Mtikila je? CUF je wote hao walikuja juu na kuitikisa CCM walishabikiwa sana kama wanavyomshabikia sasa Dr.slaa lkn walishindwa sasa basi msimdanganye huyo slaa mtamuua kwa pressure pale majibu yatakapo kuwa out.KUbalin tu CCM ipo juuuuuuuuuuuu na itashinda polen wapinzaniabout an hour ago · LikeUnlike · 3 people3 people like this. ·

    • Kebisi Chacha Wiv tolerated n bin patient wit CCM4so long bt sasa 2mechoka n we nid a change...Hu els ta tek th wil f nat Dr Slaaabout an hour ago · LikeUnlike ·

    • Nazir Sadru ‎@patri Jk hapimwi kwa hoja hiyo stage alishaipita Slaa ambaye ndoo anaanza ndo inabidi achape mdomo saaaana coz he has nothing to shoow .about an hour ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

    • Juma Abdy Juma Jabdy sijui huwa hizi sifa za jk mnazitoa wapi! Coz sioni hata moja m2 ni mnyama kiac kwamba yu tayari kuishi maisha ya kifahari huku akiangalia vifo vya watanzania wakifa kwa njaa imagine utajiri walio kuwa nawo hawa viongozi we2 2kianza na mram...ba lowassa rostam na chenge unataka kuniambia fedha walizo nazo zimetokana na mishahara yao? Halafu istoshe wanang'ang'ania madaraka hivi kweli hawa viongozi ndio 2nawaita chaguo la mungu mungu yupi? Labda shetani jamani hebu msikilizen dr slaa angalau dakika 15 uone ni jinc gani anauchungu na taifa ndo utajua kilicho mtoa ccm halafu tumia dakika 30 kumsikiliza za jk na ahadi zake mpaka sasa ana ahadi zaidi ya miambili sasa sijui ndo anaingia madarakani au ndio ku2pa matumain hewa? Kumpigia jk hunatofauti na Mfu anaye mdai doctor roho! GOD BLESS OUR COUNTRY BLESS OUR ELECTION TO END SAFE AND HELP US 2 CHOOSE YOUR REAL CHOICE DR W .SLAA AAAAAAAAAAMEN!! See More
      about an hour ago · UnlikeLike · 1 personLoading... ·

    • Hassan Mtinika ccm hawana hoja bali matuc ambayo yanazd yanamjenga slaa,mke na uongoz wapnawp?mmefungwa fikra na hamtafunguka milele,about an hour ago · LikeUnlike ·

    • Hassan Mtinika mtaji wa ccm ni wajinga,wanadumishwa kifikra,chunguza elimu za mashabik wa JK,TOEN FIKRA MGANDO,MABADILIKO NI MAENDELEO!about an hour ago · LikeUnlike ·

    • Noel Gustav ‎@Juma..Wengine wapo majimboni kwao wakiomba kura huku wameweka dhamana ya nyumba ya sh. Bilion 2.9 mahakamani!...unadhani akishinda,hata kama kesi ilikua na mashaidi 100 atafungwa?...mawe!.Rule of law ipo kwa citizens wa kawaida sio leaders!.57 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Hassan Mtinika ‎@nazir,kwa cfa za uongoz,uwajbkaj,umakin,kujenga hoja,jk hamfikii hata peter kuga mzray wa APPT,rais hayuko serious53 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Abdallah Shembaz ‎"Usidharau dafu kumbuka embe tunda la msimu" tafakari na chukua hatua48 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Nazir Sadru ‎@Hassan tunamuangazia Slaa upande mmoja tu, wa hayo anayoyasema kuwa atafanya, Vipi upande wa pili wa shilingi @ je tumuamini? hapo inabidi tuangalie maisha yake binafsi kama ndoa nk shughuli zake tunamkuta alikuwa mtumishi wa Bwana aka mkimbia bwana sasa anaomba utumishi kwa kaisari maisha yake ya ndoa, na mahusiano ndo hivyo uozo mtupu, hivi kweli mtu kama huyu tutamuamini vipi? kumpa dhamana ya maisha yetu na mali zetu. 41 minutes ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading... ·

    • Henry Joseph May our almight God guide us through this hectic days of campaign and our election to come,kila mtu anao uhuru binafsi wa kuchagua mgombea anayeona atamletea maendeleo au mabadiliko ya kile anachokiamini yeye,wapo watakaoumia baada ya matokeo pia wapo watakaosherehekea kwa matokeo yatakavyokua la msng ni kudumisha aman kat ya ndugu na ndugu na jamii kwa ujumla cz a man knows how to cry from birth but laughter takes time to practise.God bless our lovely an beautiful country Tanzania and individuals withn it.Am out 36 minutes ago · LikeUnlike ·

    • Noureen Juma ni dhahiri wa2 wanadanganyika na maneno ya slaa ambayo leo na kesho hatoweza kuyaweka kwenye vitendo hata apewe karne nzima,CCM daima bado sijaona mpinzani wa kuiongoza nchi hii,pamoja sana Jakaya,kila la kheri octoba 31...24 minutes ago · LikeUnlike ·

 
kwa kweli mda wa kuiaga ccm umeshawadia, 2015 ndo wasihesabu kabisa cz kila jimbo litakua na kina zito 50 hivi!!!
 
Yaani mtu anaamka na kuja na kijibandiko kama haka.... Kama sio Hangover basi kaishiwa!

Issue ni kwamba watu wanakoseshwa usingizi na mafisadi maana hakuna future na kwa hiyo hangover inakuwepo kwa sababu hiyo. So uko sahihi kabisa na njia pekee ya kutibu ili tatizo ni kumtupia vilago Kuhani Mkuu wa Mafisadi...mtaje mwenyewe maana nyie ni washirika
 
Back
Top Bottom