figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Rumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna rami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia