Najua mlinimiss...

@Wote mlionikaribisha.
Nashukuruni kwa upendo wenu wa ajabu... I'll take it back almost the same way you delivered to me.
Sawasawa?
Canta baby nakuhitaji PM sasa hivi...

Heee!mie mke wa mtu mkuu,km vp ongea na rejao mme wangu mpnz akikubali utanikuta kwa id pm kwa id ya rejao then twaweza chat!
 
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana.
Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu utakuwa umedorora kidogo... Good enough ni kuwa nimeweka avatar yangu ya ukweli kwa wale mloimiss.
Here I Come!
View attachment 48381

Kamefurahi kwel kweli
 
Heee!mie mke wa mtu mkuu,km vp ongea na rejao mme wangu mpnz akikubali utanikuta kwa id pm kwa id ya rejao then twaweza chat!
My waif kipenzi,
Afadhali umemwambia mapema ajue kabisaa kuwa tayari umeshachukuliwa. Mimi sina cha kuongea naye. Nakusubiri kitandani darln!
 
Heee!mie mke wa mtu mkuu,km vp ongea na rejao mme wangu mpnz akikubali utanikuta kwa id pm kwa id ya rejao then twaweza chat!

ndo akili ya Kitanzania ilivyo,
ukisemeshwa na mwanaume tu, basi unajua nataka kiungo? Very poor thinking, sasa uke wako kwa RJ na kukuhitaji kwangu kuna uhusiano gani?
Nilitaka kukupa bonge moja la mchongo, ila ushautia nyongo tena...
Umeniudhi kwa kweli!
 
Mzee wa ligi umerudi tena?!! karibu sana mkuu ......
MP.
 
hahaha Dogo umeshaomba uraia manake hapo ni Msomali mtupu

baada ya kusema hayo, karibu jamvini

kwani kuna uhusiano kati ya race na uraia? Nadhani umeshasikia kuhusu 'Rainbow nations', Zanzibar, RSA and America to mention the few, kuna kila mbari huko, mpaka machina.
Nashukuru kwa ukaribisho wako murua humu jukwaani...
 
ndo akili ya Kitanzania ilivyo,
ukisemeshwa na mwanaume tu, basi unajua nataka kiungo? Very poor thinking, sasa uke wako kwa RJ na kukuhitaji kwangu kuna uhusiano gani?
Nilitaka kukupa bonge moja la mchongo, ila ushautia nyongo tena...
Umeniudhi kwa kweli!
Acha ujinga wewe....inaoneka hujakua au una upeo mdogo sana!
Usiyachukukilie mambo hapa JF seriously hasa ya kwenye jukwaa hili!! Tunarefresh na kusogeza muda tu!
 
Acha ujinga wewe....inaoneka hujakua au una upeo mdogo sana!
Usiyachukukilie mambo hapa JF seriously hasa ya kwenye jukwaa hili!! Tunarefresh na kusogeza muda tu!

nani yuko too serious kati yangu na wewe sasa?
Judge fairly!
 
ndo akili ya Kitanzania ilivyo,
ukisemeshwa na mwanaume tu, basi unajua nataka kiungo? Very poor thinking, sasa uke wako kwa RJ na kukuhitaji kwangu kuna uhusiano gani?
Nilitaka kukupa bonge moja la mchongo, ila ushautia nyongo tena...
Umeniudhi kwa kweli!

Mkuu hili jukwaa la CHIT CHAT.....Come down humu ndio tunavushia masaa wa furaha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom