Najua mlinimiss...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana.
Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu utakuwa umedorora kidogo... Good enough ni kuwa nimeweka avatar yangu ya ukweli kwa wale mloimiss.
Here I Come!
untitled.jpg
 
Niazime hayo meno.

Afu kumbe wewe na Nitty ndo wasumbufu
Jukwaa lilipoa kweli.

Mie nilidhan ushabaniwa
 
Karibu sana mphamvu, ni kweli tulikumiss, jukwaa lilidorora kwakweli. Usipotee tena bana!
 
Ha Ha Haaaaaaa !!!!!!!!!!!

Kwa hiyo ulikuwa busy. Karibu. Lakini onyesha busara zako na sio............... !!!!!!!!!!!!

Jukwaa linakukaribisha na wanainzi wanasubiri bu sa ra zako.
 
Kweli Erick wewe ni mzee wa makaribisho..huna hiyana,mpaka kuna mtu kakuanzishia uzi wa welcoming
Teh teh jamani huu ndio urithi pekee aliotuachia Mzee Nyerere...tupendane kama ndugu...mi sina tatizo nawakaribisha tu...teh
 
Niazime hayo meno.

Afu kumbe wewe na Nitty ndo wasumbufu
Jukwaa lilipoa kweli.

Mie nilidhan ushabaniwa

Now niko out konnie huyo puppie naskia unatamani kumchomoa kwenye picha ili uchukue meno yake
 
Majukumu yalibana kidogo, muda wa kuingia JF ukakosekana.
Jumlisha na ile ajali ya mkonga wa mawasiliano kule Mombasa basi ndo visingizio kuzidi. Mtu wenu nimerudi tena, ingawa ushiriki wangu utakuwa umedorora kidogo... Good enough ni kuwa nimeweka avatar yangu ya ukweli kwa wale mloimiss.
Here I Come!
View attachment 48381

Unashine mkubwa hayo meno utajiri mkubwa
 
@Wote mlionikaribisha.
Nashukuruni kwa upendo wenu wa ajabu... I'll take it back almost the same way you delivered to me.
Sawasawa?
Canta baby nakuhitaji PM sasa hivi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom