Najivunia kuwa mtanzania

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Kuwa mtanzania raha sana, kwasababu viongozi wake wanapenda raia wake, ndio maana wamezibiti rushwa, askari wake hawabambikiii raia kesi.

Tanzania viongozi wanapenda sana raia wao ndio maana viongozi wapo radhi wao walale na njaa hili mradi raia wao washibe Tanzania ndio nchi pekee Afrika ambayo haina shida ya umeme haina shida ya maji,

Haina shida ya ajira haina shida ya madawa hospitali zote zimejaa dawa mpaka zinakosa wagonjwa wakuzitumia shule zimejaa mpaka zingine zinakosa wanafunzi madawati yamejaa mashuleni mpaka yamekosa wanafunzi waku yakalia tanzania ndio nchi pekee viongozi wake wanatembelea magari ya bei ndgo, hawapendi mambo ya starehe Tanzania ndio nchi pekee duniani viongozi wake wana huruma na raia wake Tanzania ndio nchi pekee mahakama zinafanya kazi kwa uhuru na inatenda haki

Tanzania ndio nchi pekee raia wake wanapata milo mitatu kila siku Tanzania nchi pekee ambayo wenye nyumba wengi kuliko wapangaji Tanzania ndio nchi pekee yenye taasisi za umma zinafanya kazi bila ya kuingiliwa kuanzia mahakama polisi hawapokei ma agizo kutoka juu ndio nchi pekee tume yake ya uchaguz ipo hurui kuliko tume zote duniani,

Tanzania ndio nchi pekee viongozi wake wamezibiti migogoro ya ardhi, kwa maelezo haya najua nitapingwa na wengi sio tu wenye akili timamu ndio watakao nipinga pekee yao hadi machawa watanipinga hiyo ndio Tanzania hongera kwa wote watanzania kwakupata viongozi wenye huruma na raia wao kuliko viongozi wote duniani
 
njoo kunywa chai kwanza
4D40C917-54B9-4424-9B44-0B29681966FE.jpeg
 
Acha "uongo" mkuu. Watanzania wanakula Milo 5 kila siku na siyo 3. Umeipunguza ili iweje? Umetumwa?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom