Watanzania kuingia na mabango ya viongozi wa kisiasa AFCON

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,869
3,492
Jana kwenye mechi kati ya Taifa stars na Zambia niliona watanzania wakishangilia huku wakiwa na bango kubwa lenye picha ya kiongozi mkuu.

je? ni watanzania TU ndio wanaoingia uwanjani na mabango ya viongozi wa kisiasa au na Raia wa nchi nyingine wanafanya hivyo? Kama ni ndio je? Ni nchi gani hizo?

Inawezekana Tanzania ikawa ni nchi ambayo Iko kisiasa kuliko nchi nyingine.
 
Jana kwenye mechi kati ya Taifa stars na Zambia niliona watanzania wakishangilia huku wakiwa na bango kubwa lenye picha ya kiongozi mkuu.

Je, ni watanzania tu ndio wanaoingia uwanjani na mabango ya viongozi wa kisiasa au na Raia wa nchi nyingine wanafanya hivyo? Kama ni ndio je? Ni nchi gani hizo?

Inawezekana Tanzania ikawa ni nchi ambayo Iko kisiasa kuliko nchi nyingine.
 
Sasa timu inaacha kwenda na wataalam wa mpira inaenda na kina mwijaku na baba levo unategemea nini
 
Back
Top Bottom