Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant

Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo


Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku

Chakula free

Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi

Salary LAKI MOJA

ALie tayari DM
Jiandae kupigwa
 
Back
Top Bottom