Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

Huyo wa bank aliyesoma IFM anadhalilisha chuo aisee watu wanatakiwa wajue thamani yao.

Ili afe njaa Kwa kujua dhaman yao? We vipi?
Nenda sinza Mori ukaone wadada na digree zao wanajiuza Kwa elf 5 tu
 
wengine wanajitambulishaga kuwa ni wanachuo wakt infact sio, huwa wanafanya hivyo kama technique ya biashara
Ili afe njaa Kwa kujua dhaman yao? We vipi?
Nenda sinza Mori ukaone wadada na digree zao wanajiuza Kwa elf 5 tu
 
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant

Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo


Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku

Chakula free

Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi

Salary LAKI MOJA

Aliye tayari DM
Kheee Laki moja!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom