Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,516
6,402
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant

Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo


Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku

Chakula free

Akiwa anakaa Kigamboni itakuwa safi zaidi

Salary LAKI MOJA

Aliye tayari DM
 
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant

Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo


Kazi ni kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa tano usiku

Chakula free

Akiwa anakaa kigamboni itakuwa safi zaidi

Salary LAKI MOJA

ALie tayari DM
Ww ni muuwaji yni saa 1 asubuhi mpk saa 5 usiku huyu mtu yy atapumzika saa ngapi?Atafua saa ngapi? Yni hpa ndo ninapoona kua Elimu bado sana Tz

Embu jaribu kuifanya wewe iyo kazi kwanza kabla hujatafuta mtu tuone kma utaiweza

Humanity is greater tha status
Jali utu jpo kua ni f4 lkn hiyo si kazi bali ni mateso
 
Wewe Mchina au Muhindi? Maana hata mchina na muhindi hawafanyi hivyo, hio ni kufuru masaa 17 kwa laki 1 are you serious?

12hrs + 5hrs = 17hrs

100,000 ÷ 30 = 3,333/=

Yaan anafanya kazi unamlipa 3,333 per day within 17hrs seriously?

Ww una kazi ndio maana unaweza kusema hivyo, maisha yapo tofauti sana
 
Back
Top Bottom