Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Wonder.

Na nduguye harmonize ajifunze kwake jinsi nyimbo za kimombo zinavyokua. Dogo kakitendea haki kimombo kwenye ep yake.

Alijipanga he deserve credits.
 
Amka wewe kumekucha.... Utakojoa kitandani bure.
ni saa chache baada ya msanii wa kizazi kipya anayejiita SIMBA a.k.a Dangote kuachia EP yake aliyoipa jina la FOA na kuonekana kupokelewa kwa kishindo masikioni mwa wadau wa muziki huo wa kizazi kipya. Hatimae msanii mwenzake Kondeboy ameamua kuachia single moja makini sana aliyooita kwa jina "Bakhresa" ambayo kwa hakika inaonekana kuinyamazisha ile EP iliyokuwa inaimbwa sana midomoni mwa wadau.

ni DANGOTE vs BAKHRESA.

Enjoy good musics, timu hazina maana.
 
Nyimbo kali sana harmonize kweli jeshi
1647080257984.jpeg

Mziki wa bongo unahitaji 'fitna' kidogo, Kimasihara sana #FOA imefunikwa ndani ya saa 24
 
Kwa viwango vyake kafanya poa sana. Ila kama wengine wana viwango vyao wafanye kuingia studio, ma 'producer' kama luffa_v, S2kizzy na wengine wengi wapo 😂😂😂😂
 
Duu Diamond alikuwa anandikiwa mashairi how?

Uzuri mwisho wa siku kwenye Number atawakimbiza hao wote unao wataja. Ok FOA mpaka jana saa mbili usiku less than 24hrs tokea itoke ina total streams 7m kwenye digital platforms zote.
Hujamuelewa huyo alichokuambia, ukakimbilia kupovukwa lol
Mahaba haya jaman khaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Diamond akiendelea kuimba hivi kama kwenye FOA, basi atafanya makubwa sana. Kuhusu kuandikiwa mashairi siyo jambo baya, maana hata wasanii wakubwa duniani huwa wanaandikiwa. What we want is the melody and a taste of his soul. Ile ngoma kali kama STILL DRE ni ya moto mpaka leo, lakini DRE na Snoop waliandikiwa na Jay-Z.

Kitu ambacho Diamond kimemgharimu achelewe kufika ni kuchelewa kubadilika kama wenzake Wiz-Kid, Davido na Burna. Nimewasikiliza hawa tangu zamani na nyimbo zao zilikuwa zimechangamka lakini hazina kiwango kama sasa. Wiz-Kid alikuwa anapiga nyimbo za kuruka (Siyo jambo baya), lakini baadae akaanza kubadilika na kuweka a little bit of RnB, Soul, Blues and Highlife.

Davido naye alivyojiunga na SONY alitaka kuiga muziki wa Marekani akastuka na kugeuka mapema. Burna naye alivyorudi akaanza kupiga Blues, Soul and Highlife akatoboa. Muziki wa West-Africa kama, Highlife unafanya vizuri kwasababu una mahadhi ya muziki asilia wa Afrika uliochanganywa na mahadhi ya miziki kama Jazz, Soul na Blues kutoka Marekani. Siku hizi wanaijeria wanuiita muziki wao Afro-Fusion.

Kuna baadhi ya nyimbo kwenye FOA nimesikia vionjo vya Highlife hadi nikabaki nashangaa. Hii aina ya muziki ni ngumu sana kwa wasanii wengi kuifanya, aidha utakosea au kupatia sana. Kijana wetu kanifurahisha sana akiendelea hivi, basi miaka miwili tu atafanya makubwa mno. Ajikite tu kufanya collabo na wasanii wanaoimba highlife kama Adekunle, Burna, Timi Dakolo,

Well said
 
Back
Top Bottom