Utabiri: kirefu cha EP mpya ya Diamond ni Father of All

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,339
Hello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma kidogo (ilikuwa kama Tarehe 4march).

Lakini alitoa taarifa ya kusogeza mbele uzinduzi wa EP hiyo. Ila mtandao pameandikwa jina la ep hiyo ni FOA na kifupisho hicho bado hajatoa kirefu chake na watu wengi kuanza kuongeza maneno mengi Kuhusu kirefu hicho.

Wengine wakiweka wazi kuwa ni code zilizo fichwa yaa Freemasonr of Africa

Ila binafsi nimetabiri kirefu cha EP hiyo itakuwa Father of All lakini pia inawekewa akaongeza kionjo cha Artist ikibidi itakuwa Father of All Artists
Je, kwa nini nimewaza hivi? Hii ni Sababu Msanii huyo hupenda kujiita Baba lao na ndio maana kaamua kuja na EP yake kwa jina hilo la Baba lao (Father of All) yaani FOA.
Hii nikwamujibu wa utabiri Wangu.
 
Ila binafsi nimetabiri kirefu cha EP hiyo itakuwa Father of All
Je, kwa nini nimewaza hivi? Hii ni Sababu Msanii huyo hupenda kujiita Baba lao na ndio maana kaamua kuja na EP yake kwa jina hilo la Baba lao (Father of All) yaani FOA.
Hii nikwamujibu wa utabiri Wangu.
Hii utaipata kupitia Kasomi TV
 
Swadakita kabisa 👏👏👏
Pia tutakuwa live siku ya uzinduzi wa EP usisahau kusubscribe ili usipitwe na chochote na uwe wa kwanza kupata taarifa
Na kubonyeza kitufe cha 🔔 uwongo?

Screenshot_20220306-105116.png
 
Moja Kati ya kitu ambacho msanii wa diamond anafanikiwa ni pamoja na namna anavyofanya promotion za kazi zake hilo neno la FOA limekuwa maarufu sana mitandaoni kama atajiongeza zaidi angejaribu kuuza tisheti za hizo code ya Hilo neno la EP yake angepata faida kubwa sana
 
Ungesema Flavour of Africa at least unge kua ume karibu Ila iyo uliyo ileta ww Ni kua ume tupeleka chaka
 
Moja Kati ya kitu ambacho msanii wa diamond anafanikiwa ni pamoja na namna anavyofanya promotion za kazi zake hilo neno la FOA limekuwa maarufu sana mitandaoni kama atajiongeza zaidi angejaribu kuuza tisheti za hizo code ya Hilo neno la EP yake angepata faida kubwa sana
Hakika ila najua wajanja watawahi kuliweka kwenye mavaji mfano t-shirts na jeans.

Kama ilivyo kuwa kwa tetema, n.k
 
Artists?????
Yaani huyu anajua kuchonga vintage, ufinyanzi, maigizo etc? How can he be a father of all artist wakati hata kwenye music anatumia uchawi na majini?
Hahahaa watanzania mtachelewa sana kuendelea, ingekuwa swala ni kutumia uchawi na majini tu tungekuwa na millionaires wengi sana.

Nikwambie tu, leo hii mimi na wewe hata tukipewa uchawi na majini sawasawa bila kuzidiana kitu, bado tu kimafanikio lazima tutapishana.
MOND anakitu extra ndomaana anawazidi wengi.

Halafu hii zana ya kuona matambiko kama ni dhambi kwakua tunaabudu mzimu ni utumwa tu, haina tofauti na nyinyi mnaoabudu mzimu ya kizungu isiyowatambua.
 
Mwamba naona umepigilia nyundo kwenye msumari umeongea point kubwa Sana na nifunzo kwa watu wenye imani za ovyo Sana mfano huku mtaani watu wanaamini huwezi kuwa Tajiri bila kutumia ndumba, madawa ya kulevya au kuwa fisadi
 
Hello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma kidogo (ilikuwa kama Tarehe 4march).

Lakini alitoa taarifa ya kusogeza mbele uzinduzi wa EP hiyo. Ila mtandao pameandikwa jina la ep hiyo ni FOA na kifupisho hicho bado hajatoa kirefu chake na watu wengi kuanza kuongeza maneno mengi Kuhusu kirefu hicho.

Wengine wakiweka wazi kuwa ni code zilizo fichwa yaa Freemasonr of Africa

Ila binafsi nimetabiri kirefu cha EP hiyo itakuwa Father of All lakini pia inawekewa akaongeza kionjo cha Artist ikibidi itakuwa Father of All Artists
Je, kwa nini nimewaza hivi? Hii ni Sababu Msanii huyo hupenda kujiita Baba lao na ndio maana kaamua kuja na EP yake kwa jina hilo la Baba lao (Father of All) yaani FOA.
Hii nikwamujibu wa utabiri Wangu.

Ngoja tuutunze huu uzi mwisho wa siku tuonekama Kweli wewe ni great thinker au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom