NAIROBI: Thamani ya Shilingi ya Kenya (Ksh) inazidi kuporomoka siku hadi siku

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,769
Wanauchumi naomba mnijuze ni kitu gani kinasababisha Shilingi ya Kenya kuzidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Marekani pia dhidi ya Shilingi ya Tanzania (Tsh). Mwaka 2020 1Ksh = 22.5Tsh. Hivi sasa 1Ksh = 17.9997Tsh. Angalia Graph hapo chini. View attachment 2555453

Screenshot_20230317-172342.jpg
 
Kama huzalishi nchini kwako, unanunua zaidi toka kwa wenzako, utahitaji pesa zao Ili ununue bidhaa toka kwao, wao hawahitaji pesa yako. Thamani ya pesa yako lazima iporomoke.

Kenya hadi chakula wananunua toka nje ya nchi Yao, Manufacturing sector Yao inakaribia kufa kutokana na kuongezeka kwa bei ya umeme na Kodi kubwa.
 
Trend ya Ksh. dhidi ya Dollar na Tsh. Naona inatetereka sana miaka hii ya Rais Samia
 
Trend ya Ksh. dhidi ya Dollar na Tsh. Naona inatetereka sana miaka hii ya Rais Samia
Bei ya chakula kupanda sana tz ndiyo kume sababisha pia kushuka thamani pesa yao maana 70 % ya chakula wananunua tz
 
Kenya ndio kitovu Cha East Africa hvyo akiyumba yeye kila kitu kinayumba.

Sababu kubwa ya Kenya pesa yao kuyumba n kwamba wananunua Sana na wananunua kwa volume kubwa na Kasi kubwa hvyo wanahitaji dola nyingi mkononi kwa dola nasasa dola haitulii inazidi kushuka ndipo hapo ksh inashindwa kuvumilia mapigo.

Tanzania tunatumia dola kuagiza vitu nje Ila volume yetu n ndogo compare na Kenya ikimaanisha sisi hatununui sana kwadola ndiomana viwanda n vichache hata representative office za makampun Tanzania n chache.

Hali Kama hii angekuwepo mwamba himself, one-man show, JPM mnyama mkali pesa ya Kenya dhid ya Tanzania ingekuwa 1-10 hata hk tunachokiona n effect zake JPM kipindi Cha korona na misimamo mbalimbali ya kibiashara baina ya Tanzania na mataifa mengine duniani.
 
Wanauchumi naomba mnijuze ni kitu gani kinasababisha Shilingi ya Kenya kuzidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Marekani pia dhidi ya Shilingi ya Tanzania (Tsh). Mwaka 2020 1Ksh = 22.5Tsh. Hivi sasa 1Ksh = 17.9997Tsh. Angalia Graph hapo chini. View attachment 2555453View attachment 2555454
Piga 1 Kes to Yen uone, nadhan ipo kwenye 1.03 hv

Sasa Yen ni ya Japan na Kes ya kenya.

Hivo utaona ni global impact tu ndo inayosababisha KES nayo kushuka, si unajua uchumi ulivyo kwa sasa?

Kama ungekua unafanya international trade au umeinvest kwenye markets ingekua rahisi kuona relativity yake hapo.

TLDR: It doesn't signal any red alarms for Kenyan economy
 
Bei ya chakula kupanda sana tz ndiyo kume sababisha pia kushuka thamani pesa yao maana 70 % ya chakula wananunua tz
Hujui kabisa unachoongelea,

Kama thamani ya sarafu ya kenya inategemea TZ basi ni kwa 0.5 to 1 percent.

Kenya is among major economies i Africa, sarafu yake mara nyingi iko in sync na Yen ya japan, uchumi wa Kenya uko diversified, hence thamani ya hela yake inategemea variables nyingi pia.

This is global impact fellas, not only limited to Kenya (kinyaa)
 
Mkuu inaonekana umesikiliza Sana maneno ya wakenya kujisifia kuhusu uchumi wao na umeyaamini.

Uchumi wa Kenya ni mwepesi Sana hauna mizizi yoyote ya kuvumilia misukosuko ya kiuchumi" Economic turbulence", manufacturing sector ya Kenya inazidi kudhohofika Sana, Kenya wananunua zaidi ya 80% ya mahitaji ya ndani ya kawaida Sana, hawana uzalishaji wowote wa maana.

Kenya bidhaa wanazotegemea kuuza nje ni Chai, kahawa, maua na mbogamboga. Uchumi wa Kenya unaitegemea Sana Tanzania kwa ajili ya kupata Mali ghafi Kama pamba, karatasi, makaa ya mawe, mbao, wanyama na mbolea. Huo uchumi unaosema ni "very diverse", tueleze kivipi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya ndio kitovu Cha East Africa hvyo akiyumba yeye kila kitu kinayumba.

Sababu kubwa ya Kenya pesa yao kuyumba n kwamba wananunua Sana na wananunua kwa volume kubwa na Kasi kubwa hvyo wanahitaji dola nyingi mkononi kwa dola nasasa dola haitulii inazidi kushuka ndipo hapo ksh inashindwa kuvumilia mapigo.

Tanzania tunatumia dola kuagiza vitu nje Ila volume yetu n ndogo compare na Kenya ikimaanisha sisi hatununui sana kwadola ndiomana viwanda n vichache hata representative office za makampun Tanzania n chache.

Hali Kama hii angekuwepo mwamba himself, one-man show, JPM mnyama mkali pesa ya Kenya dhid ya Tanzania ingekuwa 1-10 hata hk tunachokiona n effect zake JPM kipindi Cha korona na misimamo mbalimbali ya kibiashara baina ya Tanzania na mataifa mengine duniani.
Kenya kuyumba hakuwezi kuyumbisha Tanzania hata kidogo.

Infact wao wanategemea mengi sana toka kwetu kuliko sisi tunavyotegemea kwao.

India, China ndo nchi ambazo zikiyumba, Tanzania inaweza kuyumba kwasababu tunawategemea sana.
 
Back
Top Bottom