MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,115
- 3,769
Wanauchumi naomba mnijuze ni kitu gani kinasababisha Shilingi ya Kenya kuzidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Marekani pia dhidi ya Shilingi ya Tanzania (Tsh). Mwaka 2020 1Ksh = 22.5Tsh. Hivi sasa 1Ksh = 17.9997Tsh. Angalia Graph hapo chini. View attachment 2555453