Nairobi plans to bid for 2024 olympics

Lakini kwa upande mngine The Olympics need an entire new city (so to speak), even in well developed countries.

Not necessarily. Centennial Olympic park in Atlanta is smack-dab in the middle of the city right next to the CNN world headquarters building.

They didn't have to build an entire new city, so to speak.

Or the good 'ol USA is not a well-developed country?
 
Haya mambo ya ajabu sana, nilitembelea Kenya miezi michache iliyopita tukaenda mpaka huko kwenye misitu ya mau (Mau forest) mpaka leo kuna watu bado wanaishi ukimbizini wanawaita IDPs (Internal displaced people) na hawa ni watu waliokimbia makwao ktk vita ya 2007 mpaka leo (au mpaka 02/2012) hawana makazi serikali yao imeshindwa kuwapa
makazi wanalala kwenye mahema tena yaliyotolewa msaada halafu leo hii mtu anaongelea kuandaa olympic! Haiwezekani nashindwa kuamini!

Unakumbuka Australia ilipoandaa Olympics?
Kuna watu walisema kuhusu Aboriginals pia
But it didn't stop them from hosting the games
Kumbuka Chinese occupation of Tibet
Aboriginals of Canada, but they hosted it anyway
Nchi nyingi tu zina matatizo kama hayo. Sio tabu
 
Not necessarily. Centennial Olympic park in Atlanta is smack-dab in the middle of the city right next to the CNN world headquarters building.

They didn't have to build an entire new city, so to speak.

Or the good 'ol USA is not a well-developed country?
Maybe that is an exception. Atlanta is so well developed that the existing infrastructures were sufficient to host the games.
Sasa cheki Nairobi. Hata for an African Cup of Nation they will need serious upgrade. I can't see how they would have one city ready by 2024! There is more chance in having 5 cities booming by 20% each, than one by 100% in just 12 years (my opinion)
 
Whatever the case, hosting the 2024 Summer Olympic games will be too ambitious a task for Kenya, a third world country. That, I think, we all can agree.
 
Sometimes you only bid to position yourself for a later stage, or to inspire the population and prove that you can compete on the international sphere. whether they are nominated and win it or not, it is good for the 2012 electoral campaign.
 
Hiyo ku-bid tu, watatumia pesa si kidogo. Sasa sijui zitatoka kwenye serikali ya manispaa ya jiji la Nairobi au zitatoka serikalini

Kawaida kwa Olympics wanaochukua jukumu (hivyo kutamka) kuwa wanataka ku-host hawi Rais wala Waziri mkuu wa nchi, bali Meya wa jiji litakalokuwa mwenyeji.

Kenya tayari weshapindisha protocol, au ndio siasa?
 
Yeah, hiyo ya waziri mkuu wao kutangaza nia ya ku-bid ni tofauti kidogo. Nijuavyo mimi mji ndiyo kila kitu ingawa kunaweza kukawa na backing ya serikali lakini isiyo waziwazi.

Mkichaguliwa kuwa finalists hapo ndiyo mnatafuta mtu maarufu wa kwenda ku-pitch hiyo bid yenu, kama alivyofanya Obama na mkewe kule Oslo wakati Chicago ilipokuwa finalist wa 2016. Brasil wao walimpeleka Lula wao. South Africa wameshamtumia Madiba.
 
Sometimes you only bid to position yourself for a later stage, or to inspire the population and prove that you can compete on the international sphere. whether they are nominated and win it or not, it is good for the 2012 electoral campaign.

Ooh, so you are suggesting that what Raila Odinga said is politically motivated?
 
Hiyo ku-bid tu, watatumia pesa si kidogo. Sasa sijui zitatoka kwenye serikali ya manispaa ya jiji la Nairobi au zitatoka serikalini

Kawaida kwa Olympics wanaochukua jukumu (hivyo kutamka) kuwa wanataka ku-host hawi Rais wala Waziri mkuu wa nchi, bali Meya wa jiji litakalokuwa mwenyeji.

Kenya tayari weshapindisha protocol, au ndio siasa?

Kenyans are funny..
all African games wameandaa lini mara ya mwisho?
Africa cup of nations?
Commonwealth games?

halafu ndo wanaota kuandaa Olympic?
hivi budget ya UK ya kuandaa London Olympic wanaijua?

comedians Kenyans lol
 
Vile inawezekana the 5 East African to jointly host the 2024 olympics au taratibu haziruhusu? Labda tutakuwa Federation by then.
 
Atlanta ndo mji pekee uliopata faida kutoka Olympics kama sikosei mji mengine yote ni hasara, pia ukiangalia bei ya baadhi ya ticket za michezo ya Olympics sioni itawezekana vipi Africa, ticketi nzuri ya mashindano ya kuogelea inagusa £2,000 kwa Africa itabidi washushe sana kiasi cha kupata hasara zaidi.
Not to mention michezo mingi ya Olympic haina wachezaji kenya, swimming, archery, shooting, infastructure hiyo itadoda baada ya michezo.
 
Kenyans are funny..
all African games wameandaa lini mara ya mwisho?
Africa cup of nations?
Commonwealth games?

halafu ndo wanaota kuandaa Olympic?
hivi budget ya UK ya kuandaa London Olympic wanaijua?

comedians Kenyans lol

Siyo budget ya UK bana. Labda ya London.
 
hata kama ni politically motivated
it is embarrassingly stupid even to say it...
Kenya gdp now ni 29 billion dollars....UK wametumia zaidi ya pound 24 billions kwa hii Olympic...tu

Teh teh teh Boss bana.....
 
London ni host City
lakini pesa si nchi nzima inajitolea?

Sidhani kama serikali ya UK imetumia pesa za walipa kodi ku-finance hizi Olympics. Kawaida miji ndiyo huandaa. Involvement ya serikali sina hakika huwa ni kwa kiasi gani. Labda kwenye kuhakikisha ulinzi tu.
 
Back
Top Bottom