Nairobi plans to bid for 2024 olympics

Hiyo ni kweli. Ingawa nadhani faida in the short and long term huwa zinaishinda hasara. Centennial Olympic games in Atlanta left over 600 million dollars worth of infrastructure. Kwangu hiyo ni faida.

Sio kila infrastructure inayobakishwa ni faida. Kuna viwanja vinaweza kujengwa kisha ukatumia pesa nyingi zaidi kwa ajili ya maintenance kuliko unayozalisha kutoka kwayo (Korea Kusini na Japan walikula hasara hiyo baada ya kuandaa World Cup 2002).

Unaweza ukaweka line mpya ya treni na stesheni zake, lakini ukakuta traffic ya watu hakuna, wewe unakula hasara.
 
hayo ni maoni yako pekee, hakuna vile africa kusini itahost olympics na wali host world cup kwa sababu ya support ya nchi zingine barani, ni wakati wao kusupport nchi nyingine africa kuhost olympics. wewe pia naona ni kibaraka tu wa africa kusini si angalau hata useme dar itaweza kuhost tukusupport

The thing is I don't labor under the delusion that Dar or Nairobi can host the 2024 Olympic games.
 
Sio kila infrastructure inayobakishwa ni faida. Kuna viwanja vinaweza kujengwa kisha ukatumia pesa nyingi zaidi kwa ajili ya maintenance kuliko unayozalisha kutoka kwayo (Korea Kusini na Japan walikula hasara hiyo baada ya kuandaa World Cup 2002).

Unaweza ukaweka line mpya ya treni na stesheni zake, lakini ukakuta traffic ya watu hakuna, wewe unakula hasara.

Not the case with Atlanta, GA.
 
Not the case with Atlanta, GA.

Bila ya shaka inategemea na mji na mji pamoja na namna long term plan ya matumizi ya hizo facilities ilivyotathminiwa.

Ukikosea mipango tu unakula hasara

Nairoberry
Nimewahi kuwa kwenye kamati ya ku-design facilities za Olympic games, ikifika muda tutafutane nichangie "ujuzi"
 
Last edited by a moderator:
Bila ya shaka inategemea na mji na mji pamoja na namna long term plan ya matumizi ya hizo facilities ilivyotathminiwa.

Ukikosea mipango tu unakula hasara

Kwa observation yangu, hii michezo mikubwa ya kidunia huwa ina faida zile za moja kwa moja na zile ambazo ni collateral.

Atlanta baada ya olimpiki za 96, kulikuwa na mlipuko wa ukuaji wa mji. Hii pia ilisababisha makampuni makubwa makubwa ya Fortune 500 kuanza kuwekeza na kuhamishia makao makuu yao na baadhi ya operations huko Atlanta. Hii ni job creation. Na yote hayo ni matokeo ya publicity iliyopata Atlanta wakati wa Olimpiki.

Leo hii Atlanta ina boast the world's busiest airport. A ton of Fortune 500 companies are based there. And it is a vibrant international city.
 
Kimsingi ukiangalia katika miji iliyo-host hiyo michezo, miji ambayo ilikuwa midogo ilipata faida.

Tokyo ilipo-host Olympics mwaka 1964 ilisaidia sana ku-boost uchumi kwa sababu ndio kwanza ilikuwa ipo vuruvuru kutokana na athari za vita vya pili vya dunia. Kwa hiyo facilities na infrastructure nyengine zilisaidia kwenye uchumi. Lakini mji huo huo ulipo-host World Cup 2002 umekula hasara vibaya, kwa sababu maendeleo yalikuwa yashafikia ya juu hayakuhitaji kuwa boosted na hiyo michezo. Korea Kusini ilikula hasara hiyo hiyo, na subiri usikie London kama haijatangaza hasara.

Miji kama Nairobi inaweza kupata faida kama mipango ni mizuri, lakini.
 
Tokyo ilipo-host Olympics mwaka 1964 ilisaidia sana ku-boost uchumi kwa sababu ndio kwanza ilikuwa ipo vuruvuru kutokana na athari za vita vya pili vya dunia. Kwa hiyo facilities na infrastructure nyengine zilisaidia kwenye uchumi. Lakini mji huo huo ulipo-host World Cup 2002 umekula hasara vibaya, kwa sababu maendeleo yalikuwa yashafikia ya juu hayakuhitaji kuwa boosted na hiyo michezo.

World Cup 2002 ilikuwa hosted na mji au nchi? Katika Japan nzima Tokyo tu ndiyo ilihost hiyo michezo? Nagoya, Osaka, na kwingineko hakukuchezwa hata mechi moja?

Nijuavyo mimi, kwa kawaida, World Cup huwa inakuwa hosted na nchi na si mji mmoja tu katika nchi.
 
na subiri usikie London kama haijatangaza hasara.

Olympic park ya London imejengwa East London ambako kwa kweli kulikuwa dilapidated. Wiki jana nilimsikia Lennox Lewis akisema kwamba hilo eneo limebadilika sana. Na pia nilisoma mahali kwamba hizo athletes quarters zitageuzwa kuwa apartments michezo ikishaisha.

Construction in preparation for the Games involved considerable redevelopment, particularly themed towards sustainability.[SUP][11][/SUP] The main focus is a new 200 hectares (490 acres) Olympic Park, constructed on a former industrial site at Stratford, East London.
 
Kenya hapa kazi ngumu lakini inawezekana bidii zaidi ikitiliwa maanani. yote yawezekana mipango na ratba ziwekwe sasa hivi go go go go Great naiRoberry the green metropolis under the sun
Nadhani Olympic ni more challenging (logistic wise) kuliko world cup (foot)
Kwa nini Kenya isianze na World Cup, then ije kujaribu Olympics baadae?
But as you say, all is possible, it is a matter of commitment. Yes we can...
 
World Cup 2002 ilikuwa hosted na mji au nchi? Katika Japan nzima Tokyo tu ndiyo ilihost hiyo michezo? Nagoya, Osaka, na kwingineko hakukuchezwa hata mechi moja?

Nijuavyo mimi, kwa kawaida, World Cup huwa inakuwa hosted na nchi na si mji mmoja tu katika nchi.

Ilifanywa sehemu mbali mbali za nchi, lakini kwa Tokyo Metropolitan Area (Miji ya Tokyo, Yokohama na Saitama ambayo imechanganyika pamoja) ilikula hasara.
 
Nadhani Olympic ni more challenging (logistic wise) kuliko world cup (foot)
Kwa nini Kenya isianze na World Cup, then ije kujaribu Olympics baadae?
But as you say, all is possible, it is a matter of commitment. Yes we can...

World cup ni challenging zaidi kwa sababu ni nchi nzima. Yaani utahitaji world class venues katika miji si chini ya mitano. Olympics ni mji mmoja tu.
 
Olympic park ya London imejengwa East London ambako kwa kweli kulikuwa dilapidated. Wiki jana nilimsikia Lennox Lewis akisema kwamba hilo eneo limebadilika sana. Na pia nilisoma mahali kwamba hizo athletes quarters zitageuzwa kuwa apartments michezo ikishaisha.

Architects, designers and policy makers say all kind of things on paper, but the reality is totally different.

Hiyo wakati mji una-bid, wanaletwa mbali na wengine, wataalamu wa kucheza na maneno tu, ili kupamba vitu vionekane vizuri kwenye karatasi.

Kama hilo neno sustainability kwa mfano, kwenye tasnia ya ujenzi halina definition moja wala hakuna kipimo standard ili kusema ilikuwa sustainable kiasi gani
 
Hiyo ni kweli kwa hiyo the jury is still out on London.
 
World cup ni challenging zaidi kwa sababu ni nchi nzima. Yaani utahitaji world class venues katika miji si chini ya mitano. Olympics ni mji mmoja tu.
Lakini kwa upande mngine The Olympics need an entire new city (so to speak), even in well developed countries. World Cup wanacheza match mbili kwa siku tena in different cities, you need fewer world class hotels per town, less transport infrastructures, less media coverage per town.
Furthermore, organizing the World Cup would spread the economic and infrastructure benefits evenly across provinces.
Can you imagine Nairobi hosting more than 250,000 people? it is easier to imagine Nai, Kisumu, Nakuru, Mombasa and Eldy hosting 50,000 each (rough calculations). The country wouldn't have to create new villages but improve in the current hotels/hostels/B&B capacities.
 
Kenya's capital Nairobi is planning to bid for the 2024 Olympics and become the first African city to host the Games, the prime minister said on Wednesday."Kenyan Prime Minister Raila Odinga, speaking at the Kenya National House today, announced that the Republic of Kenya will be starting the process of pitching to host the Games of the 33rd Olympiad in 2024," a Kenya House announcement said."If successful, these Games will be the first ever held in Africa."The International Olympic Committee will elect the 2024 host city in 2017, with official campaigning to start two years earlier.There have been African bids in the past, most recently with Egypt's Cairo unsuccessfully bidding for the 2008 Olympics that were awarded to Beijing.South Africa's Cape Town had also bid for the 2004 Games, staged by Athens. The country did, however, host the 2010 soccer World Cup, the first to be held on the African continent.The 2016 Olympics will be held in Rio de Janeiro - the first in South America - while Tokyo, Madrid and Istanbul are bidding for the 2020 Games
Nairobi plans to bid for 2024 Olympics, with a decision to be taken next year

Haya mambo ya ajabu sana, nilitembelea Kenya miezi michache iliyopita tukaenda mpaka huko kwenye misitu ya mau (Mau forest) mpaka leo kuna watu bado wanaishi ukimbizini wanawaita IDPs (Internal displaced people) na hawa ni watu waliokimbia makwao ktk vita ya 2007 mpaka leo (au mpaka 02/2012) hawana makazi serikali yao imeshindwa kuwapa
makazi wanalala kwenye mahema tena yaliyotolewa msaada halafu leo hii mtu anaongelea kuandaa olympic! Haiwezekani nashindwa kuamini!

Back
Top Bottom