Naipenda Nchi Yangu lakini Siwezi Kuunga Mkono Mambo ya Kijinga Mkono kwa Hoja ya Uzalendo

Mkuu hapa tunazungumzia suala kuwa mzalendo. Binafsi siwezi kujifanya mimi ni mzalendo kukumbatia ubakaji wa demokrasia kule zanzibar. Ni hao mashoga wa UVCCM ndio waliobaka demokrasia Zanzibar halafu wao wanakimbilia Mombasa pindipo mambo yakichafuka kule! Lakini naona mkuu wewe unajaribu kuwatetea ! Jee kulikoni isije ikawa nawe ni mmoja wao...

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
Mkuu sorry sikukuelewa vizuri kwenye post ya awali.Apologies for that turudi kwenye hoja. Watu sasa hivi hawataki kujadili kilichotokea kule zanzibar wanaleta propaganda za misaada hapa wakati Kila kitu kiko wazi. Huwezi ukashiriki uchaguzi mwenyewe ukashinda kwa asilimia 99 na bado utake kuaminisha watu unastahili kupata msaada ambao masharti yake yako wazi ni utawala bora na uchaguzi wa kidemokrasia.Maghufuli and his CCM has messed up themselves deliberately,,,they have to clean there mess not dragging everyone int it
 
We matako ondoa magufuli weka kiwete bwege wewe
You couldn't express your ignorance better!!,,Your Avatar is even quite suggestive.Kwa akili zako za kushiikiliwa hizo..kwa nini tumwondoe Maghufuli? Upuuzi wa Jecha umefanyika kwenye utawala wake,,and to be honest with you Jecha was is just a tool, a proxy set by CCM and condoned by Maghufuli himself to accomplish the mission.
 
kwa kwl wakushukuriwa ni MUNGU kwa kutuepushia fisadi nyangumi lowaxa kuingia ikulu, vinginevyo tungelia na kusaga meno, thanx jk
Ni kweli asingekuwa sehemu ya maujinga mliyofanya znz
 
Yaani watz bora tukapimwe akili.....kwenye masuala ya soka wanahimiza tuwaige wazungu lkn kwenye democracy tusiwaige...tufanye mauzauza yetu halafu Wao wanaotusaidia tuwaone mazuzu?mm nipo pamoja na wazungu wamefanya mambo..
 
Kuna wanaosema kuwa tuungane ktk jambo hili na kushikamana kama nchi. Yani kwa kuwa wafadhili wameshikamana kutunyima misaada basi na sisi tushikamane against them.

Tena wanafika mbali na kusema kwenye masuala ya kitaifa lazima tuungane pamoja bila kujali kama nchi imekosea au lah. Nimecheka sana. Kama kuna watu wanaofikiri hivi basi kuna haja ya kutizama upya mfumo wetu wa elimu maana hautujengi kufikiri.

Tujiulize kwanza hivi tunapoambiwa tusimame kwa pamoja kama nchi dhidi ya wafadhili, tunasimama kuhusu nini? Yani hoja yetu dhidi ya wafadhili ni nini?

Ingekua wafadhili wametunyima misaada kwa sababu wametulazimisha kukubali "ushoga" hoja ya kuungana ingekuwa na mashiko. Hata mimi ningehamasisha tuungane kwa pamoja kama nchi na tushikamane kukataa huo ujinga. Ningekubali kwamba bora tutaabike lakini tulinde heshima yetu na utu wetu.

Lakini wafadhili wametunyima misaada kwa sababu tumevunja misingi ya demokrasia kule Zanzibar. Sasa mnataka tuungane kama nchi ili iwaeje? Eti jamani hiki ni kipindi cha kushikamana kama taifa.. Tushikamane ili tuzidi kuvunja demokrasia au? Akili za wanywa viroba hizi.!

Pale tunapoonewa na mataifa ya nje nipo tayari kusimama na taifa langu kupambana hata tone la mwisho la damu yangu. Lakini pale tunapofanya ujinga kama tuliofanya Zanzibar na mataifa ya nje yakatukemea siwezi kujivika "uzalendo mandazi" wa kujifanya natetea nchi uangu hata kwenye ujinga.

Zanzibar tumefanya ujinga. Sasa kwanini tunalazimishwa kuungana kutetea ujinga huo? Mimi si goigoi wa kutetea ujinga eti kisa tu umefanywa na watawala. Ujinga ni ujinga tu. Ufanywe na Askofu, ufanywe na Imamu, ufanywe na Rais ni ujinga tu.

Watawawla wamefanya ujinga Zanzibar. Tusione aibu kusema ni ujinga eti kwa sababu umefanywa na watawala. Nchi Wafadhili wametusaidia kusema kuwa Zanzibar imefanyiwa ujinga na watawala.. na kwa sababu ya ujinga huo wa watawala wamepunguza misaada..

Sasa badala ya kuwapongeza wahisani kwa kukedmea ujinga huo kwa vitendo, tunaanza kutafuta huruma kwa wananchi. Tunaanzisha propaganda za kitoto eti tuwe wazalendo kutetea nchi yetu. Tushikamane kwa pamoja.. Mi nadhani Uzalendo wa kweli ni kuwaambia watawala wamefanya ujinga Zanzibar.

Siwezi kuunga mkono ujinga wa watawala eti ili nionekane mzalendo. Huo "uzalendo maandazi" mimi siuwezi. Uzalendo wa kuwa vuguvugu. Kwamba Ujinga ukifanywa na wanyonge unaitwa ujinga lakini ukifanywa na watawala unaitwa uzalendo.. Na tunahamasishwa tuungane kuutetea. Akili za wapi hizi??

Mimi ni Mzalendo sana na ninaipenda sana nchi yangu lakini siwezi kuunga mkono hata mambo ya kijinga kwa hoja ya uzalendo. Huo si uzalendo ni uzwazwa. Salaam kwa "Mazwazwa" wote popote walipo.!

Malisa GJ.!
Bravooo
 
Well said!
 
Ujanja ilikuwa kumuacha seif ajitangaze? We Malisa unatutukana watz kwa kumridhisha nani au chama chenu. Watz wako upande mmoja wa kaa na hao wafadhili lakini sie tuko upande wa wa tz. Seif kambwela mwenyewe na baadae kasusa kama mnavyosusa ktk chama chenu siku zote. Ilikuwa lazima uchaguzi uishe na umeisha salama mambo yanasonga wewe hukuwahi kuwa upande wa washindi kaa huko huko. Wafadhili wanabadilika na kutupeleka wanavyotaka wao hii haikubaliki masharti ya MCC hayakuhusu uchaguzi wa Znz na sheria ilipitishwa kabla wao hawajashoboka kutoa mkopo. Pesa zenyewe zikija zinaishia ktk mikono yao na price wana zidisha mno. Kwenye hili watz wako pamoja na wewe shoboka tu
 
Maumivu kichwani kwako yameanza taaaaratibu.......
 
Acha kuwasemea Watanzania jisemee wewe. Kufanya upuuzi kama huo walioufanya Zanzibar halafu uje hapa kusema Watanzania wako pamoja wakati upuuzi mfanya wenyewe kurudhisha matakwa yenu. Watanzania hawako pamoja katika hilo. CCM Walichokifanya Zanzibar ni ukandamizaji wa haki na ukanyagaji wa misingi ya demokrasia tuliyoiweka wenyewe. Uzalendo hapa ni kitendo cha kukataa kuungana nao katika hili. Hizo excuse mnazo kuja nazo eti CUF walijitangazia matokeo ni ngojera tu za kutaka kuhalalisha dhambi zenu. Kwanza katika sababu alizozitaja Jecha zilizochangia uchaguzi kufutwa, hilo la kujitangazia matokeo halipo.
 
Sijui kwa nini sababu za hiyo misaada kukatwa hazisemwi,watu wana hangaika tu kusema wazungu wasiingilie uhuru wetu tunaweza kujitegemea.

Hoja ya kwanini tumekatiwa misaada na yenyewe tuizungumze kwa kinywa kipanaa.
Watu hawataki kuiongelea hiyo sababu kwa vile ni ya kinafiki. Hivi ni demokrasia ipi hiyo hao watu wanaoihubiri? Umeshawahi kujiuliza kwanini waliingilia Libya, Iraq, Misri na kwingineko? Kama wao ni watenda haki Ba demokrasia kwanini waliyafanya hayo? Sasa katafute majibu ya hayo maswali na ndipo utaelewa kwanini hiyo hoja yao wengi wanaipuuza.
Ni vizuri kutoa boriti jichoni kwako ndipo uone kibanzi kwa mwenzio
 
Ujanja ilikuwa kumuacha seif ajitangaze? We Malisa unatutukana watz kwa kumridhisha nani au chama chenu. Watz wako upande mmoja wa kaa na hao wafadhili lakini sie tuko upande wa wa tz. Seif kambwela mwenyewe na baadae kasusa kama mnavyosusa ktk chama chenu siku zote. Ilikuwa lazima uchaguzi uishe na umeisha salama mambo yanasonga wewe hukuwahi kuwa upande wa washindi kaa huko huko. Wafadhili wanabadilika na kutupeleka wanavyotaka wao hii haikubaliki masharti ya MCC hayakuhusu uchaguzi wa Znz na sheria ilipitishwa kabla wao hawajashoboka kutoa mkopo. Pesa zenyewe zikija zinaishia ktk mikono yao na price wana zidisha mno. Kwenye hili watz wako pamoja na wewe shoboka tu
Kama akili za mtanzania ndio kama zako halafu Magufuli bado anadai "tutavuka"! Ndugu ebu niambie tutavuka wapi kama watanzania ni mandondocha kama ulivyo wewe?

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
Ccm wakilia wanataka tulie wote tunapanda wote ila kuvuna wanavuna wenyewe mazao yakipigwa na jua wanataka tulie wote waambieni tumeshtuka.

Hapa ndipo kale kawimba ka Lady Jaydee kanafanya kazi yake vyema.

Joto hasira...
 
Kama akili za mtanzania ndio kama zako halafu Magufuli bado anadai "tutavuka"! Ndugu ebu niambie tutavuka wapi kama watanzania ni mandondocha kama ulivyo wewe?

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
Kufikiri tofauti we dogo hujazoea, ndondocha mbona kama wewe ndio zaidi manake unajisifia ujinga watu wengi wamepiga kura zanzibar manake uhuru wao lazima uheshimiwe Seif kasusa na wazungu mnawatia ndimu na hivi walikuwa hawana nia ya dhati basi wamejiachia tu.
 
Acha kuwasemea Watanzania jisemee wewe. Kufanya upuuzi kama huo walioufanya Zanzibar halafu uje hapa kusema Watanzania wako pamoja wakati upuuzi mfanya wenyewe kurudhisha matakwa yenu. Watanzania hawako pamoja katika hilo. CCM Walichokifanya Zanzibar ni ukandamizaji wa haki na ukanyagaji wa misingi ya demokrasia tuliyoiweka wenyewe. Uzalendo hapa ni kitendo cha kukataa kuungana nao katika hili. Hizo excuse mnazo kuja nazo eti CUF walijitangazia matokeo ni ngojera tu za kutaka kuhalalisha dhambi zenu. Kwanza katika sababu alizozitaja Jecha zilizochangia uchaguzi kufutwa, hilo la kujitangazia matokeo halipo.

Mbona.uchaguzi ulishaishA watu wanasonga watz kwa wingi wao nyie mko wachache na lazima muwepo ili mtumike na wenzenu.
 
Ukweli unabaki pale pale. Mnabaka Demokrasia kwa kuamini kuwa hamtatoa nchi kwa karatasi, sasa kama hayo ndio yaliyojaa kichwani mwenu kwa nini mnaitisha Uchaguzi wa nini ?. Mimi naunga mkono msimamo wa nchi wahisani
 
Back
Top Bottom