Naipa pongezi bodi ya mikopo ya elimu ya juu iendelee vivyo-hivyo

Jilanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
255
40
Kwa mara ya kwanza kuwapongeza HESLB kwa kutuingizia hela ya field hata wale ambao hawakuwa na field! Nasema hivyo kwa sababu first year wanaofanya kozi nyingine tofauti na Education imekuwa magumashi kupewa hela ya field mpaka mwaka wa pili, Ila mwaka huu wamegutuka wakati watu wapo mahome kwao kwa kukata tamaa ya kufanya field bila hela.

Lakini kwani walikuwa hawatupatii na hali wanatukopesha? TANZANIA BILA MAANDAMANO INAWEZEKANA?

Nawakilisha!
 
Hongera saana ata kwa kuwa mawazo ya shukran nadhan kwa hilo wamekukuna na ndio Tanzania unayoitaka
 
Nahisi watakuwa wamefanya makosa coz hela ya field ni kwa wanaotakiwa kwenda field tu.
 
ee bwana ni kweli hayo unayoyasema? Me niko BAPRM 2 huenda kitu kipo ndani ya box.! Ngoja niende atm nikacheck kama mzgo upo.!
 
Back
Top Bottom