Naingia kama fundo la msuli

tinginya

New Member
Aug 2, 2011
4
1
Ma great thinker ninaomba mnipokee kwani naamini hapa lengo langu la kuiondoa CCM 2015 litatimia.
 
Karibu jamvini fundo la msuli...Hilo lengo lako usilisahau wakati wa uchaguzi mkuu kwa kupiga kura na kuilinda
 
Ma great thinker ninaomba mnipokee kwani naamini hapa lengo langu la kuiondoa CCM 2015 litatimia.

Karibu jamvini ingawa unaonekana ka mshari vile...... unajua sie hatuna cha mgeni tunakuwasha tu hapo hapo!
 
Mgeni wewe inaonesha fundo lako la msuri huwa unaliweka nyuma. karibu jamvini, huu ni uwanja wa hoja zenye tija ingawe zinaweza kuigusa cdm au CCM sisi hatujari.
 
lengo lako na familia yako.
hapa ni jukwaa la raia wote bila kujali dini wala chama.
 
Ma great thinker ninaomba mnipokee kwani naamini hapa lengo langu la kuiondoa CCM 2015 litatimia.
<br />
<br />
mkuu mbona umeaanza na gia ya kukipiga chini chama cha matajiri wa nchi..

ni bora ungesema unakuja kujifunza na kupata furaha(MMU na JOKES) na kupata machungu alumanusura ya kutaka kukimbia nchi(HABARI NA HOJA)..

karibu sana jamvini
CAUTION!
soma sana JF Rules..
 
kama lengo lako ni kuliondoa madarakani CCM ni kwa nini usisababishe mapinduzi uchukukue madaraka?
 
You are wellcome. Take care, JF sio pahala pa mchezo. Utatolewa nishai.
 
You are wellcome. Take care, JF sio pahala pa mchezo. Utatolewa nishai pamoja na fundo lako. Usishtuke karibu sana MKUU katika jamii kubwa kuliko zote hapa TZ.
 
Back
Top Bottom