Naibu waziri wa mambo ya ndani na hotuba ya kambi ya upizani

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
mhh kweli sijasoma historia ila waziri huyu anatoa historia za viongozi wa marekani na mataifa mengine.
Watching now
 
huyo ni mwehu kama anatetea polisi na kutaka wapewe sifa kwa maovu wanayofanya.
Huyo ni nshomire anajaribu kuonyesha anavyojua kiinglish..
 
Dakika ishirini nzima anamzungmzia martin luther king
wakati hoja ni nyingi na mda ni mdogo...
Huruma sana kwa watanzania...
Halau hyu mhaya utasema ni muunguja...
 
Jamani huruma mi sitaki hii kitu,ona wale polisi wanavyomuangalia kwa uchungu maana wanajua kabisa waziri anajitetea uongo.pale wamepeleka maboss wao wako wapi wale wadogo wanaozunguka na pikipiki kutwa nzima,tanzania nchi yangu nakulilia sana
 
naona katumia dakika zake zote kujibu hotuba ya kambi ya upinzani, hajazungumzia michango mingine ya wabunge
 
Uchambuzi uliofanywa umemwacha uchi Mhe Lema na chama chake. Mengi katika hotuba ya Lema yalikuwa ni off-point, anafanya nukuu zisizohusiana na mada, anatoa mifano isiyolandana na hoja na kwa kifupi ile hotuba ilikuwa ni crap.

Cha kujiuliza:
1. Wanaojifanya kuwa marafiki zake ktk serikali kivuli ya CDM wamemponza kwa makusudi na kumwacha awasilishe zile takataka?
2. CDM Wamemchoka kutokana na elimu yake duni hadi kumwacha atoe hadharani ule upuuzi?
3. Huyu Lema ndiye anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani pale ndoto za CDM zitakapotimia za kukamata dola. Je, ipo siku tz itakuwa na waziri kilaza/mbumbumbu kama huyu?...hafai hata kupewa u-Katibu Kata.....

Wana Arusha, mlimpa kura na sasa mmeumia.....imekula kwenu.....ni miaka mitano ya maumivu.

'A LITTLE LEARNING IN DEED MAY BE DANGEROUS'.....imenukuliwa na Naibu Waziri Mambo ya Ndani.
 
  • Thanks
Reactions: Omr
Unaweza kutoa a substantive detailed analysis - hata in point form- badala ya kuleta wholesale allegations?

Alipokosea Lema ni wapi hasa? Kama hana elimu kama ulivyosema hili linatakiwa kuwa jambo rahisi sana.

Ama sivyo utajionyesha kama mtu asiye elimu kuliko Lema asiye elimu. Utakuwa umeshindwa kumu expose.
 
mkuu wake wa kazi Mh Nahoza akiendelea naye kuichambua hotuba iyo ila leo ndo wanakumbuka kuomba msamaha kwa wote waliouwawa na Polisi ila Wakati walipofanya hayo mauaji mbona hatukuwaona pili walipoiba maiti kule tarime je walichukua hatua gani?
 
TAARIFA KWA CHADEMA:
WAPIGAKURA CHIPUKIZI TUNAKUSUDIA KUWAONGEZEENI WABUNGE NA MADIWANI IDADI YA KUMWAGA HIVI KARIBUNI

Waheshimiwa Ndugu Slaa, Mbowe, Zitto, Wenje, Abwao, Owenya, Mch Msigwa, Mr II, Mnyika, Ndesamburo, Selasini, Julius Mtatiro, Prof Lipumba, Mh Lema, Tundu Lissu, Halima Mdee na Wapiganaji wetu kibao ndani; jamani mnatufanya tutembee huku mitaani tukijivuna na kujihisi Watanzania zaidi kama ambavyo ilivyokua huko enzi za Mwalimu Nyerere kwa wananchi wake.

Jamani mnaonekana kuenea KILA IDARA huko bungeni na kote mitaani jamani. Mpaka inafika mahali mtu utadhani kwamba wabunge wa upinzani ndio wako wengi zaidi bungeni!!! Ama kweli nimeamini kwamba suala bungeni si saaana kuwa mzigo mkubwa wa idadi kubwa ya wabunge vichwa maji kama kulivyo ndani ya CCM bali ni kuwa na wabunge wachache LAKINI wenye mikikimikiki kiasi cha kuhaha uwanja mzima na kupandisha presha mafisadi kila kukicha!!!!!!!

CHADEMA, kwa mtaji huu wa utendaji mzuri japo kwa rasilmali haba, mazingira magumu kikazi na kukinzana vilivyo na vihunzi na dhoruba za kila aina toka kwa mfumo FISADI ya CCM kila mahali, sasa sisi wapiga kura Tanzania tunawaandikieni hii barua ya wazi kuwaelezeeni kwa SISI KAMA WPIGA KURA TUMERIDHIKA SANA na utendaji wenu kazi tuliowatumeni huko Dodoma hivyo TUNAKUSUDIA KUWAONGEZEENI IDADI YA KUMWAGA ya Wabunge na Madiwani kote nchini hivi karibuni

Kazi nzuri na dawa, Big Up sana CHADEMA wananchi tunawaandalieni zawadi murua kwa njia ya KURA zetu!!!!!!!!!!!

Uchambuzi uliofanywa umemwacha uchi Mhe Lema na chama chake. Mengi katika hotuba ya Lema yalikuwa ni off-point, anafanya nukuu zisizohusiana na mada, anatoa mifano isiyolandana na hoja na kwa kifupi ile hotuba ilikuwa ni crap.

Cha kujiuliza:
1. Wanaojifanya kuwa marafiki zake ktk serikali kivuli ya CDM wamemponza kwa makusudi na kumwacha awasilishe zile takataka?
2. CDM Wamemchoka kutokana na elimu yake duni hadi kumwacha atoe hadharani ule upuuzi?
3. Huyu Lema ndiye anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani pale ndoto za CDM zitakapotimia za kukamata dola. Je, ipo siku tz itakuwa na waziri kilaza/mbumbumbu kama huyu?...hafai hata kupewa u-Katibu Kata.....

Wana Arusha, mlimpa kura na sasa mmeumia.....imekula kwenu.....ni miaka mitano ya maumivu.

'A LITTLE LEARNING IN DEED MAY BE DANGEROUS'.....imenukuliwa na Naibu Waziri Mambo ya Ndani.
 
Uchambuzi uliofanywa umemwacha uchi Mhe Lema na chama chake. Mengi katika hotuba ya Lema yalikuwa ni off-point, anafanya nukuu zisizohusiana na mada, anatoa mifano isiyolandana na hoja na kwa kifupi ile hotuba ilikuwa ni crap.

Cha kujiuliza:
1. Wanaojifanya kuwa marafiki zake ktk serikali kivuli ya CDM wamemponza kwa makusudi na kumwacha awasilishe zile takataka?
2. CDM Wamemchoka kutokana na elimu yake duni hadi kumwacha atoe hadharani ule upuuzi?
3. Huyu Lema ndiye anatarajiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani pale ndoto za CDM zitakapotimia za kukamata dola. Je, ipo siku tz itakuwa na waziri kilaza/mbumbumbu kama huyu?...hafai hata kupewa u-Katibu Kata.....

Wana Arusha, mlimpa kura na sasa mmeumia.....imekula kwenu.....ni miaka mitano ya maumivu.

'A LITTLE LEARNING IN DEED MAY BE DANGEROUS'.....imenukuliwa na Naibu Waziri Mambo ya Ndani.

Rais Mwinyi alikuwa na elimu gani? Bwana Lyatonga Mrema alikuwa na elimu gani?
 
Bg Up sana LEMA najua wana CCM wote ni wachumia matumbo soon and very soon tutawatoa madarakani kwwa PEOPLEs Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
 
Sijui, ila hata mimi nimeimindi ile budget aliyosoma Lema......imagine yeye ndio angekuwa waziri wa mambo ya ndani ya ukweli, halafu budget anayoipresent ndio ile......kuna kitu kweli pale?
 
Mtoa mada nadhani una Tatizo ama una upeo mdogo sana wa mambo ya Siasa, hasa za upinzani, kwa kifupi kilichozungumzwa na Lema sio chake pekeyake bali ni cha Chadema nzima, ni msimamo wa Chama na kama unakosoa basi kosoa Chadema na wala sio kumfuata mtu binafsi

Kama usingekuwa msimamo wa Chadema basi ingekuwa kamaile issue ya J Shibuda ya kuandikiwa barua ya kujieleza
 
jinsi sasa wanavyofanya bidii kutoa majibu kwenye hotuba zao ni wazi wanajaribu kutafuta majibu kwa hotuba ya Lema Mb.<br />
Hawawezi hata kueleza mambo waliyopanga.<br />
Wanahaha tena kwa kutapatapa.<br />
Wanaonyesha ujumbe unawatisha.
 
Back
Top Bottom