Kishongo
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 932
- 64
Mtoa mada nadhani una Tatizo ama una upeo mdogo sana wa mambo ya Siasa, hasa za upinzani, kwa kifupi kilichozungumzwa na Lema sio chake pekeyake bali ni cha Chadema nzima, ni msimamo wa Chama na kama unakosoa basi kosoa Chadema na wala sio kumfuata mtu binafsi
Kama usingekuwa msimamo wa Chadema basi ingekuwa kamaile issue ya J Shibuda ya kuandikiwa barua ya kujieleza
Nasita kuamini kuwa ilikuwa ya CDM ninayoijua yenye akina Zitto, Mnyika Slaa etc.
Any way, kama ni kweli kuwa ni ya CDM....Chama Kikuu cha Upinzani....basi, Tz tumekwisha!