Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 18
Kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV,anasema alipokuwa ziarani Tanga,alikuta mtu asiemtanzania ameingia nchini na kujenga pwani ya Tanga bila kuwa na kibali cha ujenzi wala kibali hati ya kumiliki ardhi..binafsi nikashangaa sana Waziri anaehusika nayeye anashangaa inawezekana vipi hili kutokea na mwisho kwenda kwenye chombo cha habari kulalamika..nchi hii sijui inaelekea wapi?