Naibu Waziri aunga mkono kampeni ya matumizi ya kuni na mkaa katika jamii

Nyakijooga

Senior Member
Dec 9, 2018
124
202
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini leo Novemba 17, 2023 amegawa mitungi ya gesi 36 kwa wenyeviti na makatibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilayani Butiama.

'Imeelezwa kuwa lengo zoezi hilo ni kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amelenga kuondoa matumizi ya kuni na mkaa katika jamii na badala yake itumie nishati mbadala jambo ambalo linatajwa kuwa litasaidia kunusuru uharibifu wa mazingira nchini.'
IMG_20231117_191548_786.jpg
View attachment 2816786View attachment 2816785
 
Back
Top Bottom