Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

Maana halisi ya Bunge ni kuwa mahali pakuheshimiana na kujadili mustakabali wa Taifa bila kujali itikadi.Leo tunaona mwanamke anadhalilishwa TULIA anafurahia ndivyo alivyotakiwa kufanya???
Kwani uongo uko wapi hapo je viti maalum hakuna demu wa Mwenyekiti?
 
Hiyo si kazi yangu na mimi si mwanaccm ila najua alianza kama MBUNGE WA VITI MAALUM

Hajawahi kuwa mbunge wa viti maalum,usidanganye watu.Amekuwa mbunge wa Ulanga Mashariki kuanzia 2005-2015
 
[QUOTE="YEHODAYA, post: 16110459, member: 3155nithibitishe ambo hilo dogo tu ilibidi wao ndio wathibitishwe kama hivyo viti walivipata kihalali na waonyeshe ilikuweje wakawa wao ni si wengine.[/QUOTE]
Kwa hiyo nikisema hapa wee ni shoga itakubidi uthibitishe kuwa wee sio shoga? Mbona yule mzee wenu hakuthibitisha kuwa yeye sio bwege?
 
nimesikia kuna mbunge wa viti maalumu cdm anasema wamepitia mchakato...nb sijui sana siasa hv mchakato wa chadema uko vp.... maana ccm kama sio mtoto wa fisad/mtu maarufu hupat viti maalumu.....nb sitaki kuamin kama ni kweli wanatoa rushwa ya ngono ....lkn yawezekana kuna kaukweli
 
Mkuu hili la viti maalum sio kwa UKAWA tu, hili suala ni tatizo hata kwa CCM pia, ni wakati sasa wa kufuta hivi viti maalum maana havina tija zaidi ya kujaza bunge na kuendeleza ujinga ujinga tu, kama kila jimbo lina mwakilishi wake aliyechaguliwa kwa kura za wananchi sasa hawa wanini?? FUTA VITI MAALUM HAVINA TIJA.
Nakuunga mkono mkuu. mimi pia sioni umuhimu wao wabunge wa viti maalum. ni kuiongezea serikali gharama zisizo za lazima.
 
Kwani mama yake alikuwa bikira?
Sio tu hakuwa bikira, bali alikuwa anatumika kuwastarehesha wanaume kwa kulipwa madaraka, yeye huyu mtoto kwao kila mmoja ana baba ake, je mamake angekuwa hai angeyasema haya? Kilicho mpeleka mamake India na kurudishwa maiti mbona tunajua alienda kujificha? Anyamaze maana ya mamake tukiyaweka hadharani atakimbia bungeni.
 
Kijana mdogo majukumu makubwa ndio madhara yake haya sasa anatukana na anachokoza umma wa watanzania ulioamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Ngoja sasa watu wafukue makaburi ataiona tamu ya kauli yake.
 
Sasa umesema UBUYU ambao hauna uhakika nao basi usiusemee moyo wa mtu usiyemjua.Na ukiona issue imenyamaziwa kimya kuna mawili UKWELI au UONGO na ameamua kunyamaza sababu anaujua UKWELI kwa yanayosemwa.UKIMYA nao ni jibu tosha

Kwani wewe hauishi Tanzania? Mbona hiyo ishu ni official na sasa si habari tena imeshazoeleka na mtoto wetu anaendelea kukua? Nimeigusia tu kwa vile ina uhusiano na ishu iliyotokea bungeni, ishu ya mwenyekiti kama inatoa conclusion fulani hivi kama utaamua kufikiri vizuri.
 
Wewe ni third party Zitto mwenywe alimpa promo Mbowe kwa kusema kwa sauti ndiye aliyemtrain kuingia kwenye ulingo wa siasa,na akaenda mbali kumshukuru kumfikisha hapo.SO nimetoa kutoka kwenye Mdomo wa Zitto.

Mbona sasa mtoto wa Zitto anaitwa Chachage badala ya Freeman? Yote anayosema Zitto unayaamini? au kuna unayoyachagua kuyaamini?
 
Ni kweli kwani uongo Mbowe kazaa na Mbunge wake wa viti maalum ukweli unauma.
 
Back
Top Bottom