Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,356
- 21,390
ukweli na udhalilishaji vina tofauti gani eti?
Kwa hiyo unataka kutuambia na NS naye amepatikana kwa Kulala na kiongozi huko CCM?Use your brains tafadhali
ukweli na udhalilishaji vina tofauti gani eti?
Kwani uongo uko wapi hapo je viti maalum hakuna demu wa Mwenyekiti?Maana halisi ya Bunge ni kuwa mahali pakuheshimiana na kujadili mustakabali wa Taifa bila kujali itikadi.Leo tunaona mwanamke anadhalilishwa TULIA anafurahia ndivyo alivyotakiwa kufanya???
Hiyo si kazi yangu na mimi si mwanaccm ila najua alianza kama MBUNGE WA VITI MAALUM
Hajawahi kuwa mbunge wa viti maalum,usidanganye watu.Amekuwa mbunge wa Ulanga Mashariki kuanzia 2005-2015
Hii nchi ina maajabu mengi zaidi ya tuyajuayo.Kijana wa Kombani anadai yeye hajui kiswahil..dah nchi hii
Nakuunga mkono mkuu. mimi pia sioni umuhimu wao wabunge wa viti maalum. ni kuiongezea serikali gharama zisizo za lazima.Mkuu hili la viti maalum sio kwa UKAWA tu, hili suala ni tatizo hata kwa CCM pia, ni wakati sasa wa kufuta hivi viti maalum maana havina tija zaidi ya kujaza bunge na kuendeleza ujinga ujinga tu, kama kila jimbo lina mwakilishi wake aliyechaguliwa kwa kura za wananchi sasa hawa wanini?? FUTA VITI MAALUM HAVINA TIJA.
Duuuu! Wewe sasa ndio umeamua kuharibu kote kote.
Kwani uongo uko wapi hapo je viti maalum hakuna demu wa Mwenyekiti?
Sio tu hakuwa bikira, bali alikuwa anatumika kuwastarehesha wanaume kwa kulipwa madaraka, yeye huyu mtoto kwao kila mmoja ana baba ake, je mamake angekuwa hai angeyasema haya? Kilicho mpeleka mamake India na kurudishwa maiti mbona tunajua alienda kujificha? Anyamaze maana ya mamake tukiyaweka hadharani atakimbia bungeni.Kwani mama yake alikuwa bikira?
Lakini si ndo ukweli? Mbona kubenea alisema walikatiwa shanga na kuvuliwa chup na polis wa bunge hawakuomba muongozo?
Sasa umesema UBUYU ambao hauna uhakika nao basi usiusemee moyo wa mtu usiyemjua.Na ukiona issue imenyamaziwa kimya kuna mawili UKWELI au UONGO na ameamua kunyamaza sababu anaujua UKWELI kwa yanayosemwa.UKIMYA nao ni jibu tosha
Wewe ni third party Zitto mwenywe alimpa promo Mbowe kwa kusema kwa sauti ndiye aliyemtrain kuingia kwenye ulingo wa siasa,na akaenda mbali kumshukuru kumfikisha hapo.SO nimetoa kutoka kwenye Mdomo wa Zitto.
Kwani NS yupo UKAWA?Kwa hiyo NS alikuwa DEMU wa wenyekiti wa Chama Cha Majipu??