Naibu Spika afafanua kuhusu Benki na Kampuni za Simu hukata pesa nyingi kuliko Serikali

Kweli huyu jamaa anachekesha, wao lazima wachukue nyingi kwasababu ndio watoa huduma. Hawawezi gawana sawa na sawa na serikali.

Ni sawa aseme serikali inachukua faida kidogo na mfanyabiashara anachukua kiasi kikubwa.

Sijui kwanini TZ watu wenye janja janja ndio tunawapa nafasi za kushikilia mambo muhimu
Amesema aligundua kuwa anapofonya miamala serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.

Ametaka serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata ni sahihi.

View attachment 2364023
 
  • Biashara ifanye benki, Ila mnufaika wa kwanza awe serikali.
  • Kwa nauli hizi, si rahisi kupata wawekezaji wa maana.
  • Viongozi wapime uzito na madhara ya kauli zao kwenye uwekezaji, usalama wa mitaji, maazimio ya kimataifa na kikanda, n.k
  • Haya maelekezo yanakwenda kuvuruga Biashara, tunarudi zama zile kwa kasi ya 4G.
  • Mh. Samia watch out!
 
Amesema aligundua kuwa anapofonya miamala serikali huchukua pesa kidogo kuliko bank au makampuni ya simu.

Ametaka serikali ifanye utafiti kuona kama kiwango wanachokata
View attachment 2364023

Pia soma:Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja
Zungu namkubali na ana Nia ya kweli ya kuona Nchi inasonga mbele,sio kutetea wapumbavu wanaolia Lia Kuhusu tozo,unaweza wauliza baada ya tozo kupunguzwa imewaongezea nini kwenye maendeleo Yao?
 
Wewe na zungu wako mliwaho kuona wapi mtoa huduma anachukua kidogo au sawa sawa na serikali? Maana mabenk na mitandao ya simu ndio watoa huduma, wanarun systems, wanalipa wafanyakazi, ikitokea hasara kwa mteja wao ndio watailipa sasa inawezekanaje wagawane sawa au serikali ichukue zaidi?

Haya ni mawazo ya ajabu kabisa
Na hayo mawazo yake ya kuweka tozo kwenye mabundle ni mawazo ya ajabu.
Nchi hii inabidi iwahimize watu watumie internet zaidi maana dunia ndiko inahamia huko.

Sasa hivi walau na sisi ndio tunaanza catchup vijana wanajitengenezea kipato huko kwa kuzalisha contents, kufanya biashara wengine kupata maarifa lakini bado pia hatujafika mbali maana hatuna hata startups wala innovations za maana huko.

Kufanya internet ionekane ni anasa na mawazo mufirisi
 
Wewe na zungu wako mliwaho kuona wapi mtoa huduma anachukua kidogo au sawa sawa na serikali? Maana mabenk na mitandao ya simu ndio watoa huduma, wanarun systems, wanalipa wafanyakazi, ikitokea hasara kwa mteja wao ndio watailipa sasa inawezekanaje wagawane sawa au serikali ichukue zaidi?
Haya ni mawazo ya ajabu kabisa
Wala sio hoja ya Zungu hiyo bali kinachochukuliwa ni kikubwa kuliko uhalisia..

Ukimsoma Zungu btn the lines anataka watoa huduma wapunguze Makati na kile watakachopunguza ndio kiende Serikalini bila ongezeko lolote la tozo..
 
Kwani anayepanga serikali inachukua asilimia ngapi ni hao mabenki au serikali yenyewe? Anayepanga vat ni benk?
Tuanzei haoo kwanza. Ukiweka vocha ya 2000 kwenye simu, tshs. 303 ni kodi ya serikali na kinachobaki ndio kampuni inapaswa kutoa gharama za kurun na faida hapo hapo.
 
Kanuni ya kupanga inatokana na declaration ya hizo kampuni kwenye financial statements zao Kwa kuonyesha high operational costs nk Ili wapate base ya kikubwa kubaki kwao..
 
Kama ni hvyo, basi serikali haifanyi kazi yake imelala ndio maana kuna loopholes za kudanganywa.
Ila haya mawazo ya zungu ya tozo tozo kila mahali hayana jipya hayana ubunifu maana hata mimi standard 7 nayaweza. Naweza sema waweke tozo kwenye kila lita ya maji ya dawasa halafu nionekani na miki kichwa nimekuja na idea ya kuipatia serikali.mapatao
 
Kweli huyu jamaa anachekesha, wao lazima wachukue nyingi kwasababu ndio watoa huduma. Hawawezi gawana sawa na sawa na serikali.

Ni sawa aseme serikali inachukua faida kidogo na mfanyabiashara anachukua kiasi kikubwa.

Sijui kwanini TZ watu wenye janja janja ndio tunawapa nafasi za kushikilia mambo muhimu
Nenda Ilala ukaione ilivyochakaa lakini ukija uchaguzi leo ni yeye ndiye atakayeshinda. !!
 
Zungu yupo sahihi kabisaa, namuunga mkono.
hakika huo ndio uzalendo.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Hivi kumbe huyu Zungu ni mjinga kiasi hiki.
  • Kwa nini hagusii kabisa ma V8 wanayoendesha ambayo kila moja gharama yake ni karibia 600,000,000/= kila moja?
  • Kwa nini hagusii kabisa posho (300,000/= kwa siku) wanazolipwa kwa kutimiza wajibu wao kama Wabunge huku wakiendelea kulipwa mishahara ya mamilioni ya kodi zetu?
  • Kwa nini hagusii kabisa swala la wabunge kutolipa kodi licha ya kulipwa hayo mabilioni na mamilioni?
  • Je Zungu anataka kusema hizo kampuni hazilipi kodi?
Wananchi tuamke, tunaibiwa na watu ambao hawana akili wala huruma..hovyo kabisa watu hawa!
 
Wala sio hoja ya Zungu hiyo bali kinachochukuliwa ni kikubwa kuliko uhalisia..

Ukimsoma Zungu btn the lines anataka watoa huduma wapunguze Makati na kile watakachopunguza ndio kiende Serikalini bila ongezeko lolote la tozo..
Kwa kazi ipi serikali iliyofanya hadi iongezewe gawio? Haya ndo Mawazo ya kiwiziwizi tu.
 
Back
Top Bottom